TANZIA Aliyewahi kuwa mkuu wa mikoa mbalimbali nchini, Abass Kandoro afariki dunia Hospitali ya Taifa, Muhimbili

Innah lilah waina ilaih Rajiun.. Comrade Kandaro alivunja vichochoro vyote Dar ambavyo vilikua vimefungwa kwa flem, nakumbuka uhuru na msimbazi kulikua na vibanda vya biashara hakafumua vyote
 
Huyu alikua Mbeya mara ya mwisho
 
Alikua mkuu wa mkoa wa Tabora. Dsm na Mby sio Klm
 
Poleni sana Familia. Rafiki yangu tumechapa naye kazi tukiwa Wakurugenzi wote. Yeye akiwa Iringa Vijijini. Alikuwa mtu mwema sana. RIP Mzee Kandoro.
 
Baada ya Makonda Huyu Kandoro ndio RC
Maarufu zaid katika Miaka ya karibuni


Allah amsamehe Makosa yake Na AMPE Kauli thaabet huko aliko
Makonda positive umaarufu au negative umaarufu?
 
Ulivomtaja Kijuu wa kagera umenifanya niamini unachosema licha ya kuwa hao wengine siwafahamu kwa undani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…