TANZIA Aliyewahi kuwa mkuu wa mikoa mbalimbali nchini, Abass Kandoro afariki dunia Hospitali ya Taifa, Muhimbili

TANZIA Aliyewahi kuwa mkuu wa mikoa mbalimbali nchini, Abass Kandoro afariki dunia Hospitali ya Taifa, Muhimbili

Pumzika kwa aman mkuu wa mkoa, mwendo umeumaliza, wana Mwanza tutakukumbuka
 
Km sikosei mwezi ulioisha nilimuona MOSHI.mwenzangu aliniambia umemuona kandoro?nikamjib itakuwa kaja kucheki miradi yake.itakuwa ndio siku ya mwisho tulimtia machoni.
Mungu ampe makazi mema
 
Huyu aliwahi kuwa mkuu was mkoa was arusha kwa muda mfupi sana lakini alifanya kazi kubwa ya kupendeza sana. Hakuwahi kusema Arusha in mkoa wake!

Mungu awafariji watanzania na wanafamilia wote. MUNGU atufundishe kuzihesabu siku zetu na kutukumbusha habari za Tumaini; la ufufuo na uzima wa milele kwa kila aaminie!
 
hujamuelewa...alichomaanisha ni kua kipindi chote ambacho Abbas Kandoro alikua mkuu wa mkoa wa Dar hakuwahi kujigamba kua Dar ni yake au ni mkoa wake.
Oohooo! Vema kabisa na asante. Sentensi yake ilikuwa ambiguous kwangu ndiyo maana niliitafsiri vile. Nashukuru. Kumbe madongo yalikuwa yanatembezwa kwa watu fulani?
 
Sasa nie watu wa Magufuli inabidi mjifunze kitu toka kwa hawa waliowatangulia; wengi wenu mnajiona kuwa mtakuwa hapo mlipo milele!! Hivyo vyeo mlivyonavyo ni dhamana tu.
Kuwa na akiba ya maneno mkuu.
Hakuna wa kukibeza kifo, ndo adui wa mwisho kwa kila binadamu.
Huyu marehemu Abbas Kandoro kwa tuliomfahamu alikuwa mtu mwema, na kumbukumbu hiyo inaishi hata baada ya kifo.
 
Back
Top Bottom