Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni sana Familia. Rafiki yangu tumechapa naye kazi tukiwa Wakurugenzi wote. Yeye akiwa Iringa Vijijini. Alikuwa mtu mwema sana. RIP Mzee Kandoro.
Sibishi. Yawezekana upo sahihi. Nieleweshe kidogo.Mkuu hujamuelewa
Vema kabisa. Na kuna Lawrence Gama na Mecky SadikiUlivomtaja Kijuu wa kagera umenifanya niamini unachosema licha ya kuwa hao wengine siwafahamu kwa undani
Usimweke Kandoro karibu na kinyesi!! Unamkosea heshima!Baada ya Makonda Huyu Kandoro ndio RC
Maarufu zaid katika Miaka ya karibuni
Allah amsamehe Makosa yake Na AMPE Kauli thaabet huko aliko
Hakika, tunapita tu hapa duniani.Kufa ni faida kuishi ni kristo
Nahisi Iringa.
Oohooo! Vema kabisa na asante. Sentensi yake ilikuwa ambiguous kwangu ndiyo maana niliitafsiri vile. Nashukuru. Kumbe madongo yalikuwa yanatembezwa kwa watu fulani?hujamuelewa...alichomaanisha ni kua kipindi chote ambacho Abbas Kandoro alikua mkuu wa mkoa wa Dar hakuwahi kujigamba kua Dar ni yake au ni mkoa wake.
Kuwa na akiba ya maneno mkuu.Sasa nie watu wa Magufuli inabidi mjifunze kitu toka kwa hawa waliowatangulia; wengi wenu mnajiona kuwa mtakuwa hapo mlipo milele!! Hivyo vyeo mlivyonavyo ni dhamana tu.