TANZIA Aliyewahi kuwa mkuu wa mikoa mbalimbali nchini, Abass Kandoro afariki dunia Hospitali ya Taifa, Muhimbili

Mmoja wa wakuu wa mikoa bora kuwahi kutokes Tanzania. Siyo hizi takataka za sasa hivi!
 
Duh! Hata mimi nimeuza sana maji ya 'Kandoro' Nimeya~miss sana
R.I.P
 
Pumzika kwa amani mzee wetu.Pole kwa wanafamilia wote kwa kipindi hiki kigumu.
 
R I P kamanda kandoro, Mungu akupe pumziko la milele, Amina.
 
Unaongea ni wewe ?
Yuko sahihi.kufa ni faida na kuishi ni kristo.kama alikuwa mtenda mema kufa kwake ni faida kubwa sana.kwa sababu kavumilia kwa mda mrefu kutofanya dhambi.kwahiyo kapunguza siku za kutenda dhambi na kama alitenda mema basi ameenda akiwa mtakatifu kuliko angebaki huku majaribu ya Hapa na hapa angejikuta kafanya dhambi kulingana na majaribu.
 
Baada ya Makonda Huyu Kandoro ndio RC
Maarufu zaid katika Miaka ya karibuni

Allah amsamehe Makosa yake Na AMPE Kauli thaabet huko aliko
Alipokuwa Mwanza km mkuu wa mkoa siku moja akasikia kuna masheikhe wanahubiri uislam akaagiza wakamatwe wapelekwe ofisini kwake.Kandoro alianza mahojiano na mashekhe...kwa nini mnahubir ktk mkoa wangu?sheikhe akamjibu allah ndiyo mwenye eneo la dunia yote.Akauliza tena jivi mnafikiri huyo allah wenu yupooo?masheikhe walihamaki kwa hasira na kumwambia tizama ww mwanaadamu tena ukiwa ni muislam unamdhihaki allah..wako wap watu wenye nguvu na mali km Firauni?angalia uzima usikudanganye nn utafanya ukiwa ndani ya kabri? Mkuu wa mkoa alinyamaza kimya kisha wakamuona machozi yakimtoka kwa upole akasema masheikhe mniwie radhi nimejikuta tuu naropoka hivi.Akatoa kibali kwa masheikhe na wakahubiri neno la mungu.Pumzika kwa amani na allah akupe kauli thabit
 
Allah amsamehe na amuweke pema peponi. Nimesoma hii comment yako, imenipelekea nimuombee dua yeye na sisi tuliohai tusihadaike na ulimwengu tukajiona hapa tumefika na kuleta kibri.
 
Back
Top Bottom