Vipi wale vijana waliopotea pale Kariakoo Samia vipi hahusiki hapo? N vipi yule askofu mstaafu wa Angalikani Mwanza alipatikana amefariki na mwili wake kutubwa ziwani Samia hahusiki? Nyinyi ni kikundi cha wapuuzi tu matukio yako miaka yote!Enzi za Jiwe watekaji walikuwa wakipongezana bar jioni.
Sasa hivi Samia alishaukataa huo uharamia. Walio chini yake kwakuwa ni machawa lazima waucheze mchezo wake
Na huo ndo ukweli sema watu siku hizi wanapenda kujifanyisha kusahau kana kwamba matukio hayakuwepo kabisa yalianza awamu ya tano na sita! Kikwete mwenyewe Dr Ulimboka alitekwa!Mambo ya kutekana hayajaanza leo wala jana
Haya mambo yatakuwepo na kuendelea kuwepo
Ova
Hebu muulizeni mbatiaHaya majambo ya kutekana bado yapo jamani
Vijana siku hizi wanatembea na wake za watu, labda kafumaniwaHuyu kijana anaitwa Clinton, na kulikuwa na taarifa humu siku chache zilizopita kwamba amepotea na hajulikani alipo.
Taarifa za sasa zinaonyesha kwamba amepatikana akiwa hoi bin Taaban huko porini alikotupwa .
Taarifa zaidi zinakuja
Wengine walisema alipotekwa Abdul Nondo wa ATC Wazalendo Magufuli alihusika leo Samia hahusiki! Yaani nchi hii tabu sana!Huo ni uhuni ndani ya chama.
CCM na Samia hawahusiki
Wanafanya hivyo kwa manufaa ya nani ikiwa Boss wao(mwendazake) aliyekuwa anaagiza hivyo hayupo tena?Vijana wa mwendazake bado wanasumbua, tuwe makini na yuvisisiem
Mpk ccm iondoke madarakani ndo yatakomaMambo ya kutekana hayajaanza leo wala jana
Haya mambo yatakuwepo na kuendelea kuwepo
Ova
Unaushahidi alikuwa anaagiza na Samia haagizi?Wanafanya hivyo kwa manufaa ya nani ikiwa Boss wao(mwendazake) aliyekuwa anaagiza hivyo hayupo tena?
Maisha magumu wapi ili hali mama amefungua nchi na mwendezake anatoa maelekezo kutoka kaburi eti watu watekweYan maisha yalivyokuwa magumu af bado tunatekana aisee
Umemkumbuka jinsi enzi zake walivyotekwa kina Mo, Roma nk
Yule jamaa ana damu ya kunguni, hata uuzwaji wa zile nyumba lawama zote alibebeshwa yeye wakati alikuwa na wakubwa zake. Yule jamaa ni kamaa.............kwa jins alivyobebeshwa dhambi za watu.Vipi Dr Ulimboka alipo okotwa Magwepande alikuwa yule jamaa pia anahusika? 😀 😀
Kwani yeye ni team awm5Kazi ya 30 hiyo
Huna lolote na hujui loloteAcheni kuhamisha magoli. Kule NCCR kuna genge linamtoa Mbatia kwenye Uongozi kwa figisu na kuna moto unawaka chamani. Huyu mtu amepotea tangu alipoenda Kisutu kwenye kesi ya kumng'oa Mbatia madarakani. Hebu unganishen dots.
Halafu hivi vyama vyetu vinaua makada wake vinasingizia wasiojulikana.
CHACHA WANGWE alitaka kumtoa MBOWE uenyekiti yuko wapi? Na yule kijana wa Kichagga MALYA aliyetekeleza mauaji mkampa Cheo.
Je, Mlinzi wa Mbowe aliyenyongwa gest pale Temeke?
Tuache porojo kuna facts zikiwekwa hapa hata hao kina JPM mnaowasikizia mtawaona malaika.
RIP Mhe.Mtikila
Si mlisema magufuri ndie anateka watu na kuua. Haya sijui anafufuka na kuteka watu saa hii.Haya majambo ya kutekana bado yapo jamani
Ilikuwa utawala wa mtu mwema asiyekufa.Wewe hujui kitu! Wakati Dr Ulimboka anatekwa ulikuwa utawala gani vile? Kwa hiyo kila ubaya mnajificha kwenye kivuli cha JPM! Mkosoeni Samia!
Lete khabari kamili yupo hospital gani tukampe pole!Huyu kijana anaitwa Clinton, na kulikuwa na taarifa humu siku chache zilizopita kwamba amepotea na hajulikani alipo.
Taarifa za sasa zinaonyesha kwamba amepatikana akiwa hoi bin Taaban huko porini alikotupwa .
Taarifa zaidi zinakuja
Nimekwambia anza kutumia dozi ya akili unarukaruka tu utadhan maharage yako jikoni. Siku ukiminywa na hao unajifanya chawa wao ndio utaelewa na muda utakua ushapita.Huna lolote na hujui lolote
Mnataka mkamalize kazi ?Lete khabari kamili yupo hospital gani tukampe pole!