Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Vijana NCCR Mageuzi aliyeripotiwa kupotea aokotwa Porini akiwa Mahututi

Ndo umeamua kujificha hapo!?..aliyeambiwa sumu haionjwi aliambiwa na serikali!?
Ndiyo nasema mnadandia gari kwa mbele. Sumaye aliyeleta hiyo kauli aliipotosha makusudi na wajinga wakaimeza hivyo hivyo. Hivi kwa akili ya kawaida ulitegemea mtu aliyetoka CCM aje apewe uenyekiti wa chama kikuu cha upinzani overnight? Maana ya kauli ya sumu haionjwi ni kuwa kumpa mgeni uenyekiti wa chama ni sawa na kuonja sumu,na maana ya kauli hiyo imetimia kwani Sumaye huyo aliyetaka kugombea uenyekiti alisharudi kitambo CCM. Mr Zero alifanya upotoshaji huo makusudi akijua huko mko.zero brain wengi mtaibeba na kuitumia kama unavyofanya wewe.
 
Kuna watu wana roho mbaya hadi basi.. Saa ingine unawaza how why ufanye yote hayo..
vita vya kiuchumi ni mbaya,unajitengenezea maadui wengi na wakati mwingine inabidi ujitoe kafara.
 
kwa kweli nakubaliana na wewe.kosa kubwa au makosa makubwa yanayofanywa na upinzani ni kuwakaribisha mamluki wa CCM.hao ndo wanaouvuruga upinzani na kuufanya uwe weak.chama kama CDM kwa sasa kingekuwa mbali sana kama hakingefanya kosa la kumleta Lowasa na Mr Zero chamani.hao ndo waliobadilisha kabisa mwelekeo wa chama.Kumsaliti Dr Slaa sababu ya Lowasa llikuwa kosa kubwa hata CDM wenyewe wameliona hilo sidhani kama watafanya kosa kama hilo tena kwana ndani ya chama naamini kuna wengi wenye sifa.
 
Aaah,ndo unavyokwepa hivyo!!?
 
Wengne wanatembea na wake za watu na sio kla mtekwaji ni siasa au mambo ya siasa do chanzo
 
Watanzania wengi hawana uelewa na katiba na ndio maana wanaonekana wako nyuma kudai katiba na kuonekana wanasiasa kuwa kimbelembele, sasa badala ya kulikubali hilo na kujaribu kutoa elimu ndio kwanza mnawaambia kuwa ni waoga.
Kwa Tanzania jinsi tulivyo sio tu inasababisha tusipate hiyo katiba mpya bali hata tukiipata kunaweza kusiwe na yale mnayotarajia kusiwe na mabadiliko.
 
Chadema walipokuwa wanafanya makongamano ya elimu ya Katiba Mpya ndiyo walikuwa wanaletewa defender zimejaa wale majambazi wanaovaa uniform walikamatwa,walipigwa na wengine kufunguliwa kesi za kutunga za ugaidi. Hii nchi ngumu sana
 
Mnafiki mkubwa, jina la ulimboka au Mabwepande ni geni kwako! Au pengine nakuonea maana nadhani huelewi hata maana halisi ya Muasisi, usalama wa taifa katika nchi na vitu kama hivyo… you seem to be a smart man and an imbecile at once…poor you Mshana…

kwa hayo manyanga hushindwi sema Ngwear alikuwa Muasisi wa Hip Hop nchini ukamuacha Sugu..
 
Huyu kijana anaitwa Clinton, na kulikuwa na taarifa humu siku chache zilizopita kwamba amepotea na hajulikani alipo.

Taarifa za sasa zinaonyesha kwamba amepatikana akiwa hoi bin Taaban huko porini alikotupwa .

Taarifa zaidi zinakuja
Nyie mliyohesabu kila aliyetekwa au kuuliwa wakati wa jpm anzeni kuweka hesabu ya mama.
 
Anamkumbuka kwamba kazi aliyoiasisi inaendelezwa
Yani utafikiri Tanzania ilikuwa bonge la nchi kabla ya Magu ila kumbe ujinga mtupu tu, wakina Ulimboka wametekwa na kuteswa na kunusurika kifo ila et leo Magu ndio anaitwa muasisi.
 
Yani utafikiri Tanzania ilikuwa bonge la nchi kabla ya Magu ila kumbe ujinga mtupu tu, wakina Ulimboka wametekwa na kuteswa na kunusurika kifo ila et leo Magu ndio anaitwa muasisi.
Magu hakuwa muasisi, la hasha, yeye alikuwa KONKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…