mzalendoalltz
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 828
- 709
Duh
RIP Magufuli
Magu wa nn tena wakati ndio alikuwa mtekaji No1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh
RIP Magufuli
Alimteka nani yako tuambie?Magu wa nn tena wakati ndio alikuwa mtekaji No1
Anamkumbuka kwamba kazi aliyoiasisi inaendelezwaMagu wa nn tena wakati ndio alikuwa mtekaji No1
Ndiyo nasema mnadandia gari kwa mbele. Sumaye aliyeleta hiyo kauli aliipotosha makusudi na wajinga wakaimeza hivyo hivyo. Hivi kwa akili ya kawaida ulitegemea mtu aliyetoka CCM aje apewe uenyekiti wa chama kikuu cha upinzani overnight? Maana ya kauli ya sumu haionjwi ni kuwa kumpa mgeni uenyekiti wa chama ni sawa na kuonja sumu,na maana ya kauli hiyo imetimia kwani Sumaye huyo aliyetaka kugombea uenyekiti alisharudi kitambo CCM. Mr Zero alifanya upotoshaji huo makusudi akijua huko mko.zero brain wengi mtaibeba na kuitumia kama unavyofanya wewe.Ndo umeamua kujificha hapo!?..aliyeambiwa sumu haionjwi aliambiwa na serikali!?
vita vya kiuchumi ni mbaya,unajitengenezea maadui wengi na wakati mwingine inabidi ujitoe kafara.Kuna watu wana roho mbaya hadi basi.. Saa ingine unawaza how why ufanye yote hayo..
kwa kweli nakubaliana na wewe.kosa kubwa au makosa makubwa yanayofanywa na upinzani ni kuwakaribisha mamluki wa CCM.hao ndo wanaouvuruga upinzani na kuufanya uwe weak.chama kama CDM kwa sasa kingekuwa mbali sana kama hakingefanya kosa la kumleta Lowasa na Mr Zero chamani.hao ndo waliobadilisha kabisa mwelekeo wa chama.Kumsaliti Dr Slaa sababu ya Lowasa llikuwa kosa kubwa hata CDM wenyewe wameliona hilo sidhani kama watafanya kosa kama hilo tena kwana ndani ya chama naamini kuna wengi wenye sifa.Ndiyo nasema mnadandia gari kwa mbele. Sumaye aliyeleta hiyo kauli aliipotosha makusudi na wajinga wakaimeza hivyo hivyo. Hivi kwa akili ya kawaida ulitegemea mtu aliyetoka CCM aje apewe uenyekiti wa chama kikuu cha upinzani overnight? Maana ya kauli ya sumu haionjwi ni kuwa kumpa mgeni uenyekiti wa chama ni sawa na kuonja sumu,na maana ya kauli hiyo imetimia kwani Sumaye huyo aliyetaka kugombea uenyekiti alisharudi kitambo CCM. Mr Zero alifanya upotoshaji huo makusudi akijua huko mko.zero brain wengi mtaibeba na kuitumia kama unavyofanya wewe.
Aaah,ndo unavyokwepa hivyo!!?Ndiyo nasema mnadandia gari kwa mbele. Sumaye aliyeleta hiyo kauli aliipotosha makusudi na wajinga wakaimeza hivyo hivyo. Hivi kwa akili ya kawaida ulitegemea mtu aliyetoka CCM aje apewe uenyekiti wa chama kikuu cha upinzani overnight? Maana ya kauli ya sumu haionjwi ni kuwa kumpa mgeni uenyekiti wa chama ni sawa na kuonja sumu,na maana ya kauli hiyo imetimia kwani Sumaye huyo aliyetaka kugombea uenyekiti alisharudi kitambo CCM. Mr Zero alifanya upotoshaji huo makusudi akijua huko mko.zero brain wengi mtaibeba na kuitumia kama unavyofanya wewe.
Ndiyo ukweli wenyewe au wapi nimesema uwongo?Aaah,ndo unavyokwepa hivyo!!?
Watanzania wengi hawana uelewa na katiba na ndio maana wanaonekana wako nyuma kudai katiba na kuonekana wanasiasa kuwa kimbelembele, sasa badala ya kulikubali hilo na kujaribu kutoa elimu ndio kwanza mnawaambia kuwa ni waoga.Haya ruksa kamuwajibishe sasa. Tatizo tunaposema kuwa tunahitaji Katiba Mpya nyie mnabeza kuwa hilo takwa la Chadema wala siyo la Watanzania,mnasema wananchi wanataka barabara,shule na hospital,sasa niambie kwa Katiba hii ambayo inampa Rais mamlaka ya umungumtu unawezaje kumuwajibisha Samia? Tukubali kwamba tunahitaji Katiba Mpya ambayo itawapa wananchi kupitia wawakilishi wao yaani Bunge mamlaka ya kuisimamia Serikali na kumuwajibisha Rais. Japo Katiba iliyopo inatamka uwezo huo wa Bunge lakini kiuhalisia muundo wa Bunge lenyewe la CCM tupu unalinyang'anya hilo Bunge uwezo huo kwani wabunge wa CCM wakikaa kama kamati wanalazimishwa kuwa upande wa Serikali muda wote wawapo Bungeni ambaye hawezi kutii agizo hilo arudishe kadi ya CCM kwa maana ya kuacha ubunge.
Chadema walipokuwa wanafanya makongamano ya elimu ya Katiba Mpya ndiyo walikuwa wanaletewa defender zimejaa wale majambazi wanaovaa uniform walikamatwa,walipigwa na wengine kufunguliwa kesi za kutunga za ugaidi. Hii nchi ngumu sanaWatanzania wengi hawana uelewa na katiba na ndio maana wanaonekana wako nyuma kudai katiba na kuonekana wanasiasa kuwa kimbelembele, sasa badala ya kulikubali hilo na kujaribu kutoa elimu ndio kwanza mnawaambia kuwa ni waoga.
Kwa Tanzania jinsi tulivyo sio tu inasababisha tusipate hiyo katiba mpya bali hata tukiipata kunaweza kusiwe na yale mnayotarajia kusiwe na mabadiliko.
Mnafiki mkubwa, jina la ulimboka au Mabwepande ni geni kwako! Au pengine nakuonea maana nadhani huelewi hata maana halisi ya Muasisi, usalama wa taifa katika nchi na vitu kama hivyo… you seem to be a smart man and an imbecile at once…poor you Mshana…Muasisi
Nyie mliyohesabu kila aliyetekwa au kuuliwa wakati wa jpm anzeni kuweka hesabu ya mama.Huyu kijana anaitwa Clinton, na kulikuwa na taarifa humu siku chache zilizopita kwamba amepotea na hajulikani alipo.
Taarifa za sasa zinaonyesha kwamba amepatikana akiwa hoi bin Taaban huko porini alikotupwa .
Taarifa zaidi zinakuja
Yani utafikiri Tanzania ilikuwa bonge la nchi kabla ya Magu ila kumbe ujinga mtupu tu, wakina Ulimboka wametekwa na kuteswa na kunusurika kifo ila et leo Magu ndio anaitwa muasisi.Anamkumbuka kwamba kazi aliyoiasisi inaendelezwa
Utamtetea sana huyo muuaji lakini Mungu ameshapitisha hukumu yake na wote wapenda haki na amani tumefurahiYani utafikiri Tanzania ilikuwa bonge la nchi kabla ya Magu ila kumbe ujinga mtupu tu, wakina Ulimboka wametekwa na kuteswa na kunusurika kifo ila et leo Magu ndio anaitwa muasisi.
Masalia bado yapo! Hata IddAmin alivyokimbia Uganda, bado masalia yaliendelea mpaka kitambo kidogo mbeleniDuh
RIP Magufuli
Magu hakuwa muasisi, la hasha, yeye alikuwa KONKIYani utafikiri Tanzania ilikuwa bonge la nchi kabla ya Magu ila kumbe ujinga mtupu tu, wakina Ulimboka wametekwa na kuteswa na kunusurika kifo ila et leo Magu ndio anaitwa muasisi.