TANZIA Aliyewahi kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara katika serikali ya awamu ya tatu, Iddi Mohamed Simba afariki dunia

TANZIA Aliyewahi kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara katika serikali ya awamu ya tatu, Iddi Mohamed Simba afariki dunia

Tenda mema duniani usije kukamata roho kwa aibu!!

Maisha ya duniani ni ya kupita tu, toa haki sawa kwa wote wanaokuzunguka ewe mwanadamu..
 
Huyu nakumbuka Ilisemekana etiii, aliingilia Kati swala la DECI baada ya kuona PRIDE wateja wanapungua. Ndiyo chanzo Cha DECI Kufungiwa. Roho yake ipumzike kwa Amani.
Vitu vingine ni kumsingizia tu, DECI ni pyramid scheme ambayo ni illegal in Tanzania.
P
 
Huyu nakumbuka Ilisemekana etiii, aliingilia Kati swala la DECI baada ya kuona PRIDE wateja wanapungua. Ndiyo chanzo Cha DECI Kufungiwa. Roho yake ipumzike kwa Amani.
PRIDE aikuwai kukosa wateja hicho unachosema si cha kweli DECI ilikuwa ni kitu kisicho halali kwa mujibu wa Sheria.
 
Poleni wafiwa wote na taifa kwa ujumla .Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu. Bwana ametoa ,na Bwana ametwaa ,jina lake lihimidiwe.RIP Babu
 
Praise team
Kwa waliosomea somo la genetics wanaelewa kitu kinachoitwa natural selections, kukitokea mabadiliko ya kimazingira, miili ya viumbe hai pia inabadilika kigenetiki ili kuweza kuji adapt na mabadiliko hayo, vile viumbe ambayo vitashindwa ku adapt to the changing environments vitafutika kwa kusuffe extinction, ndio maana siku hizi hakuna dinasauria na ma dragons.

Kuna jamii ya reptiles na baadhi ya samaki wakiwemo kambale, wakati wa ukame wanageuka breathpetarian, living kwa kuvuta tuu hewa na miili yao inasimamisha all metabolism to up to 36 months, mvua zikirudi ndio wanakuja tena kuendelea na maisha ya kawaida, hii inaitwa adaptations kuwa adaptive.

Hivyo kinachoendelea kwenye the political landscape yetu kwa sasa ndicho hicho, kama mazingira ya sasa yanataka media ziwe praise singers badala ya kuwa objective na critical, then wote tutaimba mapambio ya kusifu na kutukuza.
P
 
Poleni wanailala, kupata historia yake ya uwanazuoni wa kibepari kwa kikerewe tembeleeni sura hii ya tasnifu ya uzamivu:

"The chapter, therefore, focuses on the trajectory and agency of three leading African intellectuals of capital: Iddi Simba, Juma Mwapachu, and Ali Mufuruki. 858 As entrepreneurial elites, they participated, both intellectually and institutionally, in shaping the transition to postsocialism through liberalization.

It is through their formative entrepreneurship networks that the contested process of mainstreaming their once marginal ideas on business into the polity was channeled" - A Capitalizing City: Dar Es Salaam and the Emergence of an African Entrepreneurial Elite (C. 1862-2015)
 
Back
Top Bottom