NUMAN
JF-Expert Member
- Sep 3, 2019
- 807
- 1,164
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitu vingine ni kumsingizia tu, DECI ni pyramid scheme ambayo ni illegal in Tanzania.Huyu nakumbuka Ilisemekana etiii, aliingilia Kati swala la DECI baada ya kuona PRIDE wateja wanapungua. Ndiyo chanzo Cha DECI Kufungiwa. Roho yake ipumzike kwa Amani.
Hapana ni Baba wa Sauda na Maryam SimbaJe huyu ni mume wa Sofia Simba?
PRIDE aikuwai kukosa wateja hicho unachosema si cha kweli DECI ilikuwa ni kitu kisicho halali kwa mujibu wa Sheria.Huyu nakumbuka Ilisemekana etiii, aliingilia Kati swala la DECI baada ya kuona PRIDE wateja wanapungua. Ndiyo chanzo Cha DECI Kufungiwa. Roho yake ipumzike kwa Amani.
Hapa naona Pascal Mayalla wa enzi hizo amerudi. Hongera kwa hili maana huu ndo ukweli.Naamini wapo ila tatizo ni waandishi wenye maswali ya sampuli ile na Media za kurusha vipindi vya kivile!. Media za siku hizi ni mwendo wa kusifu, sifa na mapambio.
P
Kwa waliosomea somo la genetics wanaelewa kitu kinachoitwa natural selections, kukitokea mabadiliko ya kimazingira, miili ya viumbe hai pia inabadilika kigenetiki ili kuweza kuji adapt na mabadiliko hayo, vile viumbe ambayo vitashindwa ku adapt to the changing environments vitafutika kwa kusuffe extinction, ndio maana siku hizi hakuna dinasauria na ma dragons.Praise team
CCM waliwahi kumsingizia CCM mwenzao kuwa sio Mtanzania. Mnakumbuka hiyo?
CCM hawapendani wenyewe kwa wenyeweHata Nyerere alishaambiwa sio Mtanzania,Malecela pia ni mcongo-Kambona