Madumbikaya
JF-Expert Member
- Jun 6, 2018
- 639
- 1,919
Waafrika tuna shida sana ,Sitashangaa Onyango kama ana miaka 25Kijeba kabisa hicho hamna 24 hapo
Onyango ni 26 anasemaWaafrika tuna shida sana ,Sitashangaa Onyango kama ana miaka 25
Kipigo kimekuchanganya akili😂😂😂😂😂Afrika kuna tatizo kubwa sana la kudanganya umri,Mtu kijeba mishipa imemtoka eti ana miaka 24 kazaliwa mwaka 1998
Huyo nahisi lengo lake ni kwenda ulaya hivyo wanashusha umri makusudi
Nchi za Africa Magharibi Cameroon na Senegal unakuta timu ya under 20 watu wamekomaa videvu na vijeba vya muda mrefu lakini wanaitwa watoto
Kuna mwaka Fifa iliwapima umri wachezaji timu ya watoto wa cameroon ilikuwa ni aibu kubwa na fedheha kubwa kwa shirikisho la mpira Africa CAF na sisi waafrika wenyewe
Sasa muangalie Junior Sambou aliyewaua simba eti ana miaka 24?View attachment 2603364
View attachment 2603400View attachment 2603401
Na tulimuongezea mkataba kwa miaka 3 tenaHapo Joash Onyango alipokuwa na miaka 26. Mwaka huu ndio katimiza miaka 30. Bado ana miaka mingine mitano ya kusakata kabumbu!View attachment 2603406
Yule muongo. Hakosi miaka 28.Afrika kuna tatizo kubwa sana la kudanganya umri,Mtu kijeba mishipa imemtoka eti ana miaka 24 kazaliwa mwaka 1998
Huyo nahisi lengo lake ni kwenda ulaya hivyo wanashusha umri makusudi
Nchi za Africa Magharibi Cameroon na Senegal unakuta timu ya under 20 watu wamekomaa videvu na vijeba vya muda mrefu lakini wanaitwa watoto
Kuna mwaka Fifa iliwapima umri wachezaji timu ya watoto wa cameroon ilikuwa ni aibu kubwa na fedheha kubwa kwa shirikisho la mpira Africa CAF na sisi waafrika wenyewe
Sasa muangalie Junior Sambou aliyewaua simba eti ana miaka 24?View attachment 2603364
View attachment 2603400View attachment 2603401
Ni kweli kafanya kazi nzuri sana Simba lakini babu apumzike sasa. Tujitahidi tupate wa kumsaidia ile nafasi yakeNa tulimuongezea mkataba kwa miaka 3 tena