Madumbikaya
JF-Expert Member
- Jun 6, 2018
- 639
- 1,919
Afrika kuna tatizo kubwa sana la kudanganya umri,Mtu kijeba mishipa imemtoka eti ana miaka 24 kazaliwa mwaka 1998
Huyo nahisi lengo lake ni kwenda ulaya hivyo wanashusha umri makusudi
Nchi za Africa Magharibi Cameroon na Senegal unakuta timu ya under 20 watu wamekomaa videvu na vijeba vya muda mrefu lakini wanaitwa watoto
Kuna mwaka Fifa iliwapima umri wachezaji timu ya watoto wa cameroon ilikuwa ni aibu kubwa na fedheha kubwa kwa shirikisho la mpira Africa CAF na sisi waafrika wenyewe
Sasa muangalie Junior Sambou aliyewaua simba eti ana miaka 24?
View attachment 2603400View attachment 2603401