Aliyewakata simba mkia Morroco Bouly Junior Sambou ana miaka 24?

Madumbikaya

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2018
Posts
639
Reaction score
1,919
Afrika kuna tatizo kubwa sana la kudanganya umri,Mtu kijeba mishipa imemtoka eti ana miaka 24 kazaliwa mwaka 1998

Huyo nahisi lengo lake ni kwenda ulaya hivyo wanashusha umri makusudi

Nchi za Africa Magharibi Cameroon na Senegal unakuta timu ya under 20 watu wamekomaa videvu na vijeba vya muda mrefu lakini wanaitwa watoto

Kuna mwaka Fifa iliwapima umri wachezaji timu ya watoto wa cameroon ilikuwa ni aibu kubwa na fedheha kubwa kwa shirikisho la mpira Africa CAF na sisi waafrika wenyewe

Sasa muangalie Junior Sambou aliyewaua simba eti ana miaka 24?
Screenshot_20230429-100246_Chrome.jpg

View attachment 2603400View attachment 2603401
 
Afrika kuna tatizo kubwa sana la kudanganya umri,Mtu kijeba mishipa imemtoka eti ana miaka 24 kazaliwa mwaka 1998

Huyo nahisi lengo lake ni kwenda ulaya hivyo wanashusha umri makusudi

Nchi za Africa Magharibi Cameroon na Senegal unakuta timu ya under 20 watu wamekomaa videvu na vijeba vya muda mrefu lakini wanaitwa watoto

Kuna mwaka Fifa iliwapima umri wachezaji timu ya watoto wa cameroon ilikuwa ni aibu kubwa na fedheha kubwa kwa shirikisho la mpira Africa CAF na sisi waafrika wenyewe

Sasa muangalie Junior Sambou aliyewaua simba eti ana miaka 24?View attachment 2603364

Kipigo kimekuchanganya akili😂😂😂😂😂
 
Baada ya sambou kuwala kimasihara MAKOLO......meeanza kumponda umri wake [emoji23][emoji23]

Vp mbna onyango wander kid haumsemi
 
Hapo Joash Onyango alipokuwa na miaka 26. Mwaka huu ndio katimiza miaka 30. Bado ana miaka mingine mitano ya kusakata kabumbu!
Screenshot_20230429-102858.jpg
 
Afrika kuna tatizo kubwa sana la kudanganya umri,Mtu kijeba mishipa imemtoka eti ana miaka 24 kazaliwa mwaka 1998

Huyo nahisi lengo lake ni kwenda ulaya hivyo wanashusha umri makusudi

Nchi za Africa Magharibi Cameroon na Senegal unakuta timu ya under 20 watu wamekomaa videvu na vijeba vya muda mrefu lakini wanaitwa watoto

Kuna mwaka Fifa iliwapima umri wachezaji timu ya watoto wa cameroon ilikuwa ni aibu kubwa na fedheha kubwa kwa shirikisho la mpira Africa CAF na sisi waafrika wenyewe

Sasa muangalie Junior Sambou aliyewaua simba eti ana miaka 24?View attachment 2603364
View attachment 2603400View attachment 2603401
Yule muongo. Hakosi miaka 28.
Ila kudanganya umri kwa mchezaji kunasaidia kupata timu nyingine.
 
Wa 98 huu ni mwaka wa 25.
Hata kama amezaliwa Dec 31.
 
Kama Onyango ana miaka 26 basi apewe Maua yake.
 
Waache watu watafute ugali mkuu ,umri hauchezi uwanjani bali kipaji ,kama ana kipaji hata akiwa na miaka 19 au 60 akadanganya ni 24 haina shida ili mradi anawapa furaha mashabiki wake uwanjani.
 
Back
Top Bottom