secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Shalom!
Kama Kuna mtu amewaloga watanzania hasa wa tabaka la chini naomba awasamehe sana maana wanateseka sana.
1. Juzi baada ya kesi ya Lisu kuahirishwa watanzania wawili (mmoja Mzee mmoja kijana mwenye miaka35+) walianza kuangua kilio huku wakidai kuwa lisu anaonewa na anataabishwa sana. Wawili wale hali yao ya maisha ni ya chini sana kiasi cha kutokujua watakula nini pindi jua lizamapo lakini walimlilia Lisu (toto tundu) ambaye anapelekewa chakula anachotaka na akiisusia anaweza akabembelezwa kama mtoto mdogo, pia analala pazuri japokuwa yupo rumande.
2. Tukirudi nyuma kidogo, kile kipindi ambapo Dr Slaa alipowekwa ndani rafiki yangu mmoja alishindwa kula chakula cha jioni mara baada ya kusikia Dr Slaa amewekwa ndani yaani hata mtu aliyekumbwa na msiba hajawahi kufanya vile lakini yeye alidiriki.
3. Mwaka 2015 jamaa mmoja mwenye maisha ya hali ya chini alipata mshutuko wa moyo na kuopoteza maisha baada ya kusikia Edward Ngoyai Lowasa amehamia CHADEMA. Hadi leo familia ya huyo mfu inateseka kwani jama alikuwa nguzo muhimu ya familia.
Hizi story tatu zilinifanya nianze kufikiria kuwa huenda Kuna mtu kawaloga watanzania wa hali ya chini hata wakatopea katika ufuatiliaji wa siasa ambozo haziwanufaishi.
Naambiwa katika sehemu tofauti tofauti huko Tanzania ligi za wabunge mitaani zimeshika Kasi baada ya wabunge kuwanunulia vijana mipira na jezi.
Mkuu Eli Cohen nawasubiri wana JF waniporomoshee matusi.