secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
- #101
Shida ni uelewa wao mdogo na kukosekana kwa uthubutu.Kwa upande wa wananchi, shida itakuwa iko wapi?.
Shida ni uelewa wao mdogo na kukosekana kwa uthubutu.Kwa upande wa wananchi, shida itakuwa iko wapi?.
Nilikuwa likizo kidogo na mzazi mwenzangu,subiri nakuja na nondo mkuu 👆👆😄😄Watanzania tusipobalidilka tutaendelea kuwalaumu CCM. CCM wangefanyeje kama watu akili zao ndo ziko hivi.
Tanzania ni nchi ambayo watu wake huchukua Kile wanachokisiki kutoka kwa mdomo wa mtu maarufu wanayempenda bila kuchuja kwa akili zao.
😂😅Nyerere aliwadanganya kuwa Urefu au ufupi ni kipaji na wqliamini🤣😂
Oya implicit memory uko wapi?
Karibu sana😁Nilikuwa likizo kidogo na mzazi mwenzangu,subiri nakuja na nondo mkuu 👆👆😄😄