Aliyewaloga Watanzania awasamehe maana inatosha sasa!

Aliyewaloga Watanzania awasamehe maana inatosha sasa!

mkuu I mean no malice btw nimechangia mapema tu niliona uko bize na uzi wa picha za warembo worldwide

Nimesikitika sana nani kamroga poor brain!
๐Ÿ™‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™ŒDaaah kweli kazi kazi
 
Hawana tofauti yoyote na hawa wanaokimbizana huku mtaani eti green guard sijui ushuzi gani!

Juzi niliwaona wanakimbizana hapo sanawari Jua kali kama mazezeta eti wanamsemea mama๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ
Hahaha ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
Kuwatetea kuhusu Nini?,wananchi wana akili,,wanajua hao waliojipa vyeo vya utetezi nao ni njaa inawasumbua
Unapajua nyumbani kwa nyerere pale mikocheni? Panafafanana nyumbani kwa diwani wako?
Aliwatetea wananchi au hakuwatetea?
Mwalimu alikuwa na njaa nae?
 
Shalom!

Kama Kuna mtu amewaloga watanzania hasa wa tabaka la chini naomba awasamehe sana maana wanateseka sana.

1. Juzi baada ya kesi ya Lisu kuahirishwa watanzania wawili (mmoja Mzee mmoja kijana mwenye miaka35+) walianza kuangua kilio huku wakidai kuwa lisu anaonewa na anataabishwa sana. Wawili wale hali yao ya maisha ni ya chini sana kiasi cha kutokujua watakula nini pindi jua lizamapo lakini walimlilia Lisu (toto tundu) ambaye anapelekewa chakula anachotaka na akiisusia anaweza akabembelezwa kama mtoto mdogo, pia analala pazuri japokuwa yupo rumande.

2. Tukirudi nyuma kidogo, kile kipindi ambapo Dr Slaa alipowekwa ndani rafiki yangu mmoja alishindwa kula chakula cha jioni mara baada ya kusikia Dr Slaa amewekwa ndani yaani hata mtu aliyekumbwa na msiba hajawahi kufanya vile lakini yeye alidiriki.

3. Mwaka 2015 jamaa mmoja mwenye maisha ya hali ya chini alipata mshutuko wa moyo na kuopoteza maisha baada ya kusikia Edward Ngoyai Lowasa amehamia CHADEMA. Hadi leo familia ya huyo mfu inateseka kwani jama alikuwa nguzo muhimu ya familia.

Hizi story tatu zilinifanya nianze kufikiria kuwa huenda Kuna mtu kawaloga watanzania wa hali ya chini hata wakatopea katika ufuatiliaji wa siasa ambozo haziwanufaishi.

Naambiwa katika sehemu tofauti tofauti huko Tanzania ligi za wabunge mitaani zimeshika Kasi baada ya wabunge kuwanunulia vijana mipira na jezi.

Mkuu Eli Cohen nawasubiri wana JF waniporomoshee matusi.
Mimi nilifikiri utaongelea pengine ishu ya kujadili mpira kuanzia asubuhi mpaka jioni kumbe unaongelea ishu za mtu mmoja mmoja na hisia zake? Actually watu wa chini kujihusisha na matukio ya kisiasa ni jambo jema maana inaonyesha kuwa angalau pole pole wanaamka.

IMG_6645.jpeg
 
Na Luka ni model kwa baadhi ya watanzania kisa uchawa wake.

Juzi nilienda sehemu fulani nikakuta umati mkubwa wa watu umemzunguka Mwijaku eti Kila mtu anataka kupiga naye picha๐Ÿค”

Nililia sana mkuu.
Au ni ule mwenge wa kichawi unapumbaza ..ila Sasa si unajua tunatofautiana wengine tuna mizimu mikali hayo mamwenge hayatusumbui ila asilimia kubwa kiroho ni empty set Yan wakipigwa tu kombora la kuzubaisha na kupumbaza basi
 
Mimi nilifikiri utaongelea pengine ishu ya kujadili mpira kuanzia asubuhi mpaka jioni kumbe unaongelea ishu za mtu mmoja mmoja na hisia zake? Actually watu wa chini kujihusisha na matukio ya kisiasa ni jambo jema maana inaonyesha kuwa angalau pole pole wanaamka.

View attachment 3340915
Hii picha uliyoi attach nimepinda๐Ÿ˜‚
 
Au ni ule mwenge wa kichawi unapumbaza ..ila Sasa si unajua tunatofautiana wengine tuna mizimu mikali hayo mamwenge hayatusumbui ila asilimia kubwa kiroho ni empty set Yan wakipigwa tu kombora la kuzubaisha na kupumbaza basi

Mi nadhani mngeanza uchunguzi kwenye ule Moshi wa Ile torch.
Sidhani kama ile sigara inaweza kuwapumbaza watu akili.
 
mkuu I mean no malice btw nimechangia mapema tu niliona uko bize na uzi wa picha za warembo worldwide

Nimesikitika sana nani kamroga poor brain!
๐Ÿ™‚
Bumbavu we Poor Brain kumbe ndio zako...unaenda kupigika vibarua kazi ngumu kuvuja jasho ovyo with no reasonable price ili ukawape pesa hao warembo kwenye picha unaokesha kuwaangali tena pesa yenyewe ya mawazo ... kalagabaho
 
Sidhani kama ile sigara inaweza kuwapumbaza watu akili.
Fuatilia historia yake. Ulishawahi kusikia kuhusu zindiko la mchawi Forojo Ganze kuihusu Tanganyika. Usione watu wazima na akili zao wanakimbiza litaa nchi nzima ukastaajabu. Na ukileta ujuaji sijui ulifute unakuwa mwendazake chap; au maafa makubwa yatatokea. Wadanganyika yaani dah! ๐Ÿ˜ญ

20250521_130342.png
 
Bumbavu we Poor Brain kumbe ndio zako...unaenda kupigika vibarua kazi ngumu kuvuja jasho ovyo with no reasonable price ili ukawape pesa hao warembo kwenye picha unaokesha kuwaangali tena pesa yenyewe ya mawazo ... kalagabaho
Mkuu mi nafanya kazi za kuvuja jasho napata pesa halali na ndio hata vitabu vya dini vinasema hvo..

Kwanini wewe hutaki kazi ngumu mkuu why upendi kuvuja jasho
 
Shalom,
Nafikiri ungeanza kuwaonea huruma aliyewafikisha kwenye hiyo hali unayoiita ya chini. Hayo mengine ni hisia za mtu binafsi kumhusudu mwingine.

Wewe ukilia kwa mtoto wa kike kwani mmezaliwa tumbo moja huyo? Ni hisia zako kwake. Kila mtu ana uhuru wa kitu/mtu anayempenda au kumuona kama mfano wake. Kuna mtu akifiwa na mbwa, analia msiba kama kafiwa na mzazi wake, sembuse anayemhurumia binadamu
Umemaliza kila kitu, asipo kuelewa itabidi fimbo ihusike sasa ๐Ÿ˜Š
 
Fuatilia historia yake. Ulishawahi kusikia kuhusu zindiko la mchawi Forojo Ganze kuihusu Tanganyika. Usione watu wazima na akili zao wanakimbiza litaa nchi nzima ukastaajabu. Na ukileta ujuaji sijui ulifute unakuwa mwendazake chap; au maafa makubwa yatatokea. Wadanganyika yaani dah! ๐Ÿ˜ญ

View attachment 3340930
Nilikiwa sijui mkuu, dah.
 
Mie kinachonishangaza kuhusu huyu Lissu ni kwamba familia yake wanaishi Belgium ila yeye anataka kuwatetea watanzania wa Buza, na kingine bunge la Ulaya ndio linamkingia kifua pia. Hivi huyu kwa mfano akichukua nchi hao wabongo wa Buza na Kizuramimba atawakumbuka kweli au atawakumbatia hao jamaa zake wa bunge la Ulaya? Ni akili ku mkichwa kwa wabongo, Lissu yupo kwa maslahi yake na mabwana zake wa EU.
 
Haya mambo ukiyafikiria kwa kina lazima utapata jibu la kweli.
 
Back
Top Bottom