NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,920
SHIDA MNAWALALAMIKIA WATANZANIA LAKINI HAMSHUGHULIKI NA CHANZO CHA HAYA KUWA HIVI,NA HILI NDIO TATIZO KUU LA WATANZANIA HASA WASOMI.AKISHIBA TU KILA MTU MJINGA NA WA AJABU.
Chanzo ni nini kwa mujibu wako.SHIDA MNAWALALAMIKIA WATANZANIA LAKINI HAMSHUGHULIKI NA CHANZO CHA HAYA KUWA HIVI,NA HILI NDIO TATIZO KUU LA WATANZANIA HASA WASOMI.AKISHIBA TU KILA MTU MJINGA NA WA AJABU.
Watu wamejengwa hivyo wakiamini katika watu hofu na woga chanzo ni tabia za nyani za waafrika haswa watawala.Chanzo ni nini kwa mujibu wako.
Kama walikubali kujengwa hivo basi wao ndo wajinga.Watu wamejengwa hivyo wakiamini katika watu hofu na woga chanzo ni tabia za nyani za waafrika haswa watawala.
Nadhani naona bora wazidi kuwa wamerogwa maana nyani mwenye dola ameshagundua umuhimu wa bunduki na yuko tayari kuitumia.Ngedere wakae chonjo.Kama walikubali kujengwa hivo basi wao ndo wajinga.
Basi kama wamekubali kujengwa hivyo basi watakoma.
Ila manyani wengi wa chini hawajui kinachojiri katika nchi hata wakijua kinachojiri basi hawajui chanzo kisababishacho kujiri kwa yanayojiri.Nadhani naona bora wazidi kuwa wamerogwa maana nyani mwenye dola ameshagundua umuhimu wa bunduki na yuko tayari kuitumia.Ngedere wakae chonjo.
Baadhi ya watu hapa Tanzania wanakuvimbisha kichwa lakini ukizama kwenye kina kirefu hakuna hata anayekusaidia.Mdude Nyagali watu washaacha habari naye kama hakuna kilichotokea , wana-deal na wanayejua alipo tu … kama hujiwezi huna balozi anayekujua personally tena wa nchi za magharibi achana na Jamhuri ya Bongo
Hakuna mwenye mpango , vijana inabidi wajiangalie kabla hawajaamua liwalo na liweBaadhi ya watu hapa Tanzania wanakuvimbisha kichwa lakini ukizama kwenye kina kirefu hakuna hata anayekusaidia.
Utaacha familia yako na haitapata msaada kwa wale waliokufanya ufure kichwa😐
Hahaha, ushauri wangu ni kwamba Kila mtanzania ajaribu kuboresha maisha yake kwanza.Hakuna mwenye mpango , vijana inabidi wajiangalie kabla hawajaamua liwalo na liwe
Hayo unayoyasema hayapo Tanzania tu,bali ni ulimwenguni kote.Shalom!
Kama Kuna mtu amewaloga watanzania hasa wa tabaka la chini naomba awasamehe sana maana wanateseka sana.
1. Juzi baada ya kesi ya Lisu kuahirishwa watanzania wawili (mmoja Mzee mmoja kijana mwenye miaka35+) walianza kuangua kilio huku wakidai kuwa lisu anaonewa na anataabishwa sana. Wawili wale hali yao ya maisha ni ya chini sana kiasi cha kutokujua watakula nini pindi jua lizamapo lakini walimlilia Lisu (toto tundu) ambaye anapelekewa chakula anachotaka na akiisusia anaweza akabembelezwa kama mtoto mdogo, pia analala pazuri japokuwa yupo rumande.
2. Tukirudi nyuma kidogo, kile kipindi ambapo Dr Slaa alipowekwa ndani rafiki yangu mmoja alishindwa kula chakula cha jioni mara baada ya kusikia Dr Slaa amewekwa ndani yaani hata mtu aliyekumbwa na msiba hajawahi kufanya vile lakini yeye alidiriki.
3. Mwaka 2015 jamaa mmoja mwenye maisha ya hali ya chini alipata mshutuko wa moyo na kuopoteza maisha baada ya kusikia Edward Ngoyai Lowasa amehamia CHADEMA. Hadi leo familia ya huyo mfu inateseka kwani jama alikuwa nguzo muhimu ya familia.
Hizi story tatu zilinifanya nianze kufikiria kuwa huenda Kuna mtu kawaloga watanzania wa hali ya chini hata wakatopea katika ufuatiliaji wa siasa ambozo haziwanufaishi.
Naambiwa katika sehemu tofauti tofauti huko Tanzania ligi za wabunge mitaani zimeshika Kasi baada ya wabunge kuwanunulia vijana mipira na jezi.
Mkuu Eli Cohen nawasubiri wana JF waniporomoshee matusi.
Ni kweli lakini sisi tumezidi.Hayo unayoyasema hayapo Tanzania tu,bali ni ulimwenguni kote.
Basi kama ni kulogwa hatuko peke yetu.
Wazazi wao.Watoto wezi je, ni wa nani na nani ameshindwa kuwalea kuwa na tabia njema?
Muulize Lugumi atakupa jibu. Jibu la Lugumi ndio jibu langu. Endelea kuvuja jasho ukawape vidosho wa picha za warembo.Mkuu mi nafanya kazi za kuvuja jasho napata pesa halali na ndio hata vitabu vya dini vinasema hvo..
Kwanini wewe hutaki kazi ngumu mkuu why upendi kuvuja jasho
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌 Skia sasa fanya kazi za kuvuja jasho kwa faida yako mkuu ya afya na mengine mengiMuulize Lugumi atakupa jibu. Jibu la Lugumi ndio jibu langu. Endelea kuvuja jasho ukawape vidosho wa picha za warembo.
Mwna weeeenusinikumbushe mm simba ila baD ya 3 za yangannilifungabredionnafunguanmoira umemaliz a 3 3unakumbuka derby ya 2013 kati ya simba na Yanga? Yanga alitangulia kwa kufunga magoli matatu kwa nunge, kipindi cha kwanza, kilipoanza kipindi cha pili simba walifanya comeback ya maana mpira ukiisha 3-3, kuna Watu walipoteza maisha
Kwa upande wa wananchi, shida itakuwa iko wapi?.Wazazi wao.