secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Ni wao wenyewe na akili zao fupi, kwanini wachezewe akili na CCM kama toy.Nafikiri ungeanza kuwaonea huruma aliyewafikisha kwenye hiyo hali unayoiita ya chini.
Watanzania tusipobalidilka tutaendelea kuwalaumu CCM. CCM wangefanyeje kama watu akili zao ndo ziko hivi.Mkuu wangu,
Mtanzania ni mshamba wa siasa.
Ni zoba wa haki yake
Ni mpumbavu wa utu wake
Ni mjinga wa kesho yake.
Nafikiri katika hilo bara watanzania ndio watu wazuri wa kufanyiwa ile divide and rule kwa maana ni wepesi sana kukamatika na mambo ya kijinga jinga sana.
Na Luka ni model kwa baadhi ya watanzania kisa uchawa wake.Hujajua sababu ya Lucas Mwashambwa kububujikwa madende ( Denda ) kisa Samia ?
Hujajua sababu ya Lucas Mwashambwa kububujikwa madende ( Denda ) kisa Samia ?
Acha kuingilia emotions za watu.Shalom!
Kama Kuna mtu amewaloga watanzania hasa wa tabaka la chini naomba awasamehe sana maana wanateseka sana.
1. Juzi baada ya kesi ya Lisu kuahirishwa watanzania wawili (mmoja Mzee mmoja kijana mwenye miaka35+) walianza kuangua kilio huku wakidai kuwa lisu anaonewa na anataabishwa sana. Wawili wale hali yao ya maisha ni ya chini sana kiasi cha kutokujua watakula nini pindi jua lizamapo lakini walimlilia Lisu (toto tundu) ambaye anapelekewa chakula anachotaka na akiisusia anaweza akabembelezwa kama mtoto mdogo, pia analala pazuri japokuwa yupo rumande.
2. Tukirudi nyuma kidogo, kile kipindi ambapo Dr Slaa alipowekwa ndani rafiki yangu mmoja alishindwa kula chakula cha jioni mara baada ya kusikia Dr Slaa amewekwa ndani yaani hata mtu aliyekumbwa na msiba hajawahi kufanya vile lakini yeye alidiriki.
3. Mwaka 2015 jamaa mmoja mwenye maisha ya hali ya chini alipata mshutuko wa moyo na kuopoteza maisha baada ya kusikia Edward Ngoyai Lowasa amehamia CHADEMA. Hadi leo familia ya huyo mfu inateseka kwani jama alikuwa nguzo muhimu ya familia.
Hizi story tatu zilinifanya nianze kufikiria kuwa huenda Kuna mtu kawaloga watanzania wa hali ya chini hata wakatopea katika ufuatiliaji wa siasa ambozo haziwanufaishi.
Naambiwa katika sehemu tofauti tofauti huko Tanzania ligi za wabunge mitaani zimeshika Kasi baada ya wabunge kuwanunulia vijana mipira na jezi.
Mkuu Eli Cohen nawasubiri wana JF waniporomoshee matusi.
Naukumbuka ile mechi mkuu tena kabla ya mechi Kuna jamaa walibishana kuhusu timu ambayo ingeshinda hatimaye wakaanza kudundana baada ya kuishiwa na hoja.unakumbuka derby ya 2013 kati ya simba na Yanga? Yanga alitangulia kwa kufunga magoli matatu kwa nunge, kipindi cha kwanza, kilipoanza kipindi cha pili simba walifanya comeback ya maana mpira ukiisha 3-3, kuna Watu walipoteza maisha
Ni kwasababu hao WATU wanaguswa na UTU na DAMU za WATU.Shalom!
Kama Kuna mtu amewaloga watanzania hasa wa tabaka la chini naomba awasamehe sana maana wanateseka sana.
1. Juzi baada ya kesi ya Lisu kuahirishwa watanzania wawili (mmoja Mzee mmoja kijana mwenye miaka35+) walianza kuangua kilio huku wakidai kuwa lisu anaonewa na anataabishwa sana. Wawili wale hali yao ya maisha ni ya chini sana kiasi cha kutokujua watakula nini pindi jua lizamapo lakini walimlilia Lisu (toto tundu) ambaye anapelekewa chakula anachotaka na akiisusia anaweza akabembelezwa kama mtoto mdogo, pia analala pazuri japokuwa yupo rumande.
2. Tukirudi nyuma kidogo, kile kipindi ambapo Dr Slaa alipowekwa ndani rafiki yangu mmoja alishindwa kula chakula cha jioni mara baada ya kusikia Dr Slaa amewekwa ndani yaani hata mtu aliyekumbwa na msiba hajawahi kufanya vile lakini yeye alidiriki.
3. Mwaka 2015 jamaa mmoja mwenye maisha ya hali ya chini alipata mshutuko wa moyo na kuopoteza maisha baada ya kusikia Edward Ngoyai Lowasa amehamia CHADEMA. Hadi leo familia ya huyo mfu inateseka kwani jama alikuwa nguzo muhimu ya familia.
Hizi story tatu zilinifanya nianze kufikiria kuwa huenda Kuna mtu kawaloga watanzania wa hali ya chini hata wakatopea katika ufuatiliaji wa siasa ambozo haziwanufaishi.
Naambiwa katika sehemu tofauti tofauti huko Tanzania ligi za wabunge mitaani zimeshika Kasi baada ya wabunge kuwanunulia vijana mipira na jezi.
Mkuu Eli Cohen nawasubiri wana JF waniporomoshee matusi.
Wala sijawaadhibu nilipoona wamefanya vile ila nimekuja kutoa taarifa.Acha kuingilia emotions za watu.
kuna Watu waliwaweka rehani wake zao, eti nikifungwa mchukue mke wangu, cha ajabu naye mke anaenda Hahaha akili hamna kabisaNaukumbuka ile mechi mkuu tena kabla ya mechi Kuna jamaa walibishana kuhusu timu ambayo ingeshinda hatimaye wakaanza kudundana baada ya kuishiwa na hoja.
Somo litakalowawezesha watu kutumia akili zaidi kuliko hisia lianzishwa mashuleni maana hali ni mbaya.
Wananchi wa nchi hii ni wapuuzi sana. Ukitaka kuamini ngoja wapelekewe mipira kama hawatasahau taabu walizopitia miaka mitano iliyopotea.Ni kwasababu hao WATU wanaguswa na UTU na DAMU za WATU.
Ninyi wengine wenye ROHO za NYOKA kuumiza watu na kuua watu kwasabbau ya MADARAKA ni kama tu KUUA KUNGUNI.
Hahaha 😂. Dah, kuwatoa sisiem madarakani ni ngumu sana kwa akili hizi.kuna Watu waliwaweka rehani wake zao, eti nikifungwa mchukue mke wangu, cha ajabu naye mke anaenda Hahaha akili hamna kabisa
Wao wanatamba na maisha yao yanaenda kwa migongo ya walio chini.Na huyu Lipumba na Lungwe nani kawaroga?