Aliyewashonea nguo taifa stars mungu anawaona

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,130
Reaction score
8,362
Hivi fundi aliyewashonea zile suti alikua hana futi kamba? Au alipoteza vipimo?Mbona amewashonea vijana wa taifa suti ngoko zote nje..na kwanini hawa vijana wengine hawajanunuliwa soksi. Ni ajabu sana..
 
Kwanza kwenda na masuti kwa watu ambao hawajozoea kuvaa suti ni ushamba. Hili ni kombe la Afrika ambayo kila nchi ingebidi iingie na mavazi ya kitamaduni. Kuna mavazi ya kigogo, kisukuma ama kimasai wagewatafuta wangeitangaza vyema nchi sasa haya masuti oversize na viau kachumbari?
 
Kuvaa suti kipaji mkuu,(3piece)Fundi yule yule Mr Yen Bio Wing kutoka China,bei yake hadi tunaenda mitamboni kwa exchange rate ya dollar $7.02 = ni Tsh. 16,136.27,Wengine zimewakaa vyema kabisa.
 
tunaomba na siku ya kurudi waje wamevaa suti hivyo hivyo, hata kama wamefungwa, sio kuvaa majezi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…