Aliyewashonea nguo taifa stars mungu anawaona

Aliyewashonea nguo taifa stars mungu anawaona

Kwahyo zana coulibaly ni wa Taifa stars.???

Acha bangi fala wewe...

Umechukua picha ya Simba Sc ukaweka na ya Taifa Stars alafu ukanunua bando la jero la halotel kisha umekuja kupost humu..
Turudi kwenye hoja mkuu..najua ww ndiyo dizaina wa hzo suti
 
IMG_20190607_231023.JPG
 
Si ajabu ye mwenyewe akivaa suti anakuwa kama konda ila ku criticize wengine hodari
Kwahyo zana coulibaly ni wa Taifa stars.???

Acha bangi fala wewe...

Umechukua picha ya Simba Sc ukaweka na ya Taifa Stars alafu ukanunua bando la jero la halotel kisha umekuja kupost humu..
 
Nikionaga lichaga linaaibisha wachaga huwa najiskia kutapika kutokana na ushamba wake mwenyewe....Kweli unaweza kumtoa mtu kijijini na usiweze kukitoa kijiji ndani ya mtu...Mtui niaje Mangi?? Au unatumia ukoo wa mama na wewe ni ngosha??? Na lazima kabati lako la nguo umejaza mijisuruali ya marinda na mishati kama ya yule babu wa tume ya deshideshi.......pumbavu sana
 
Fundi anafata maelekezo ya mteja, siku hizo hata wanafunzi wengi surual zao ndo ziko ivo
 
Back
Top Bottom