Aliyewashonea nguo taifa stars mungu anawaona

Dah nimecheka sana asee,, na hivyo viatu walinunuliwa sare sare nn
 
Suti kuninginia kuna shida gani? Unataka kutuaminisha wale wanaovaa suruali fupi kwenye dini yao wote hawana akili timamu?
Usilazimishe unachofanya wewe ndio kiwe sahihi ukivaa ukajiona wewe mwenyew umependeza inatosha.
Kwa akili zako hzo nguo wanazovaa wenye dini yao ziko Sawa na hzo?
Au unataka kujificha kwenye kivuli cha dini,?
 

Bora wavae KISANDAWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…