Aliyewashtaki viongozi wa kanisa katoliki (Lucy Antony) ashushiwa kipigo na watu wasiojulikana

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Lucy Antony Michael (35), Mkazi wa Yombo Dovya, Mtaa wa Makangarawe, Wilayani Temeke, Dar es Salaam amevamiwa na watu wasiojulikana akiwa anatoka nyumbani kwake, ambapo watu hao walimpiga na kumshambulia maeneo mbalimbali ya mwili wake

Lucy ambaye ni miongoni mwa watu waliojitambulisha kuwa ni Waumini wa Kanisa Katoliki walioenda kwenye Ubalozi wa Vatican, uliopo hapa nchini kwaajili ya kupeleka barua ya malalamiko juu ya mwenendo wa baadhi ya viongozi wa Kanisa hilo hivi karibuni, amesema kabla ya kuvamiwa na kushambuliwa kwake kwa siku kadhaa amekuwa kwenye misukosuko ya kupokea simu na kutumiwa sms za kejeli, matusi na wengine kumtishia maisha

Akizungumza na Waandishi wa Habari akiwa nyumbani kwake leo, Jumapili Januari 11.2026, Lucy amehusianisha kushambuliwa kwake na maoni aliyotoa mbele ya Wanahabari kuhusiana na mwenendo wa baadhi ya viongozi wa Kanisa Katoliki, jambo ambalo ameeleza kuwa amelifanya kwa nia njema ya kujenga iliyolenga kuwarejesha viongozi hao kwenye mstari, maoni ambayo yamepokelewa kwa hisia hasi kwa baadhi watu kwenye jamii

Aidha, bada ya kushambuliwa Lucy amefikisha malalamiko yake kwenye Kituo cha Polisi Makangarawe na kupewa RB No. MAR/RB/49/2026

Shuhuda wa tukio hilo Sabina Michael, Mjumbe wa Serikali ya Mtaa Ashura Salum na Daud Leonard ambaye ni mmoja wa waumini wanaosali pamoja na Lucy, kwa nyakati tofauti wameeleza kusikitishwa na tukio hilo sambamba na kuziomba mamlaka husika kuchukua hatua stahiki kwa wote waliohusika, huku pia wakiomba kuimarishiwa zaidi usalama mtaani kwao kwani matukio ya aina hiyo yanaweza kusababisha wasiwasi kwa jamii.

Pia Soma:

1768139642345.png

1768139686196.png
 
Wagalatia mnauwana!!
zamu yenu ya sasa
 
Kapicha tuone ili kama ni kutoapole tuweze kutoa kadiri tutakavyoguswa.
 
Kashushiwa kipigo, Hana hata kovu usoni? Au aliwaelekeza sehemu za kupiga?
Waache maigizo, kila mara wanasema ni wakatoliki lakini hawataji kanisa na jumuia wanayoshiriki,
 
Hii nchi ni ngumu 🤔🤔

Sikumoja aliongea Lissu akasema Wakimaliza kuwashughulikia wao, watakuja upande mwingine kuwashughulikia pia...

Kupitia kauli hii nafikiri kabla hujaamua kusogelea media inabidi ujiulize mara mbili mbili maana wanaokutumia mostly wanaweza wakawa high profile protected , sasa Mimi na wewe ambao mpaka tutoke ndio tule je, usalama wetu utakuwepo na ni kiasi gani...

Pole kwake, Mungu amjalie uponyaji
 
Lucy uwe makini Kuna wahuni wengi wamejificha kwenye kivuli cha Makanisa.
Kuna baadhi ya Makanisa Viongozi na waumini wake wamehusika mojakwamoja katika mauaji ya watu, kubaka kutia mimba na kutelekeza mimba, Kufira na aina nyingi za maumivu, ikathibitika na Kanisa likaomba msanaha na kulipa fidia.

Uwe makini Lucy lolote baya laweza kukupata yapo Makanisa na waumini wanafanya uovu wakutisha juu ya maisha na utu wa watu
 
hapa tumeingia chaka, how do we get the monkey off our back? tutachezewa kitoto na mind games mpaka tuombe poo, hakuna kitu hawa watu wanajua isipokuwa drama, hawana knowledge ya uchumi and how to run a country kutengeneza ajira, wanachojua ni majungu, fitina na uchonganishi, mipira ya yanga vs simba …
 
Lucy Antony Michael (35), Mkazi wa Yombo Dovya, Mtaa wa Makangarawe, Wilayani Temeke, Dar es Salaam amevamiwa na watu wasiojulikana akiwa anatoka nyumbani kwake, ambapo watu hao walimpiga na kumshambulia maeneo mbalimbali ya mwili wake

Lucy ambaye ni miongoni mwa watu waliojitambulisha kuwa ni Waumini wa Kanisa Katoliki walioenda kwenye Ubalozi wa Vatican, uliopo hapa nchini kwaajili ya kupeleka barua ya malalamiko juu ya mwenendo wa baadhi ya viongozi wa Kanisa hilo hivi karibuni, amesema kabla ya kuvamiwa na kushambuliwa kwake kwa siku kadhaa amekuwa kwenye misukosuko ya kupokea simu na kutumiwa sms za kejeli, matusi na wengine kumtishia maisha

Akizungumza na Waandishi wa Habari akiwa nyumbani kwake leo, Jumapili Januari 11.2026, Lucy amehusianisha kushambuliwa kwake na maoni aliyotoa mbele ya Wanahabari kuhusiana na mwenendo wa baadhi ya viongozi wa Kanisa Katoliki, jambo ambalo ameeleza kuwa amelifanya kwa nia njema ya kujenga iliyolenga kuwarejesha viongozi hao kwenye mstari, maoni ambayo yamepokelewa kwa hisia hasi kwa baadhi watu kwenye jamii

Aidha, bada ya kushambuliwa Lucy amefikisha malalamiko yake kwenye Kituo cha Polisi Makangarawe na kupewa RB No. MAR/RB/49/2026

Shuhuda wa tukio hilo Sabina Michael, Mjumbe wa Serikali ya Mtaa Ashura Salum na Daud Leonard ambaye ni mmoja wa waumini wanaosali pamoja na Lucy, kwa nyakati tofauti wameeleza kusikitishwa na tukio hilo sambamba na kuziomba mamlaka husika kuchukua hatua stahiki kwa wote waliohusika, huku pia wakiomba kuimarishiwa zaidi usalama mtaani kwao kwani matukio ya aina hiyo yanaweza kusababisha wasiwasi kwa jamii.

Pia Soma: Kundi la 'Wakatoliki' latinga Ubalozi wa Vatican Tanzania kumshtaki Askofu Ruwai'chi na Fr. Kitima
Hajafa?
 
Hii ndo njia ya kunikamata Fr Kitima?
 
Back
Top Bottom