Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,130
- 8,362
Sometimes huwa nafikiria sana wabongo huwa tunawaza nini.
Mfano 1. Tumeweka Ubungo flyover ili tuweze kupunguza msongamano wa magari kwenye taa za Ubungo...proposal imeandikwa vizuri kabisa Ela zikatafutwa na ikajengwa.
Flyover imeanza kutumika ameibuka sijui Kanjanja gani ameenda weka matuta pale inapoanzia flyover- KITUO Cha maji. Matuta hayo yanasabaisha foleni kubwa sana hasa mida ya asubuhi na jioni( Peak hours). Sasa nauliza huwa tunawaaza nini?
Mfano 2: Barabara ya Kimara Kibaha ilikua na foleni kubwa sana kutokana na ufinyu wa Barabara pamoja ma magari kutembea taratibu.
Watu wakaandika proposal wakasema solution ni kutengeneza highway ili magari yawe yanapitia bila vikwazo.
Nyumba zikabomolewa Barabara ikapanuliwa..sasa Cha kushangaza vibao vya speed limit 50km/h vipo kila baada ya km 1 na zebra za kumwaga.
Hivi wabongo hatuwezaji tafuta solution ya kudumu ya matatizo yetu? Maana solution inatengenezwa alafu tatizo linapwchikwa kwenye solution.
Mnachosha sana.