technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
CHADEMA ndiyo walimrudisha Lipumba pale Buguruni kwa mtutu wa bunduki wakati wana CUF orijino walikuwa hawamtaki!!??Cuf imeuliwa na Chadema!
Hakika, baada ya uchaguzi mkuu mbichi na mbivu zitajulikana.CDM wako makini sana, wanamjua vizuri sana zitto, mimi nadhani aliyekula wa chuya ni maalim seif. Muda utaongea.
Tatizo lenu akili ni ndogo,na mnakuja kushtuka mwishoni na kuanza kujuta na kutumia maneno 'Tunge...'KIVIPI? Tuache kusema mambo kwa kutumia hisia!!
Tatizo lenu akili ni ndogo,na mnakuja kushtuka mwishoni na kuanza kujuta na kutumia maneno 'Tunge...'
Zitto ni mtu wa system wa muda wote.
Kwa hili sibahatishi.
Hivyo unafikiri system inawatumia watu wenye akili ndogo???
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema imeuliwa na Lowasa pamoja na Mbowe, acheni kutafuta mbuzi wa kafara.Tatizo lenu akili ni ndogo,na mnakuja kushtuka mwishoni na kuanza kujuta na kutumia maneno 'Tunge...'
Zitto ni mtu wa system wa muda wote.
Kwa hili sibahatishi.
Hivyo unafikiri system inawatumia watu wenye akili ndogo???
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu Tanzania haitaingia kwenye democrasia ya kweli kupitia vyama vya siasa, hao wote ni wachumba wanacheza kwenye chumba kimoja, isipo kuwa CCM wapo kwenye master room, wengine wanacheza sebeleni, kwa hiyo CCM wanaangalia wewe unaweza kuingia master room na ukiingia kule unanyamaza, democrasia ya kweli itakuja pale Watanzania watakapo jua kuwa walikuwa wanachezewa .Wataingia mtaani na kudai mageuzi ya kweli. Hapo hakuna chama cha kisiasa cha sasa kitapona, Jeshi litaingilia kati tutaanza upya. Sasa hivi hakuna chama chochote ambacho kinaangalia masliha ya wananchi, wote wanaangalia matumbo yao. tuingie na sisi tule. Hospitali ya rufaa Chato wapi na wapi?Mbona Nyerere hakujenga hospitali ya rufaa Butiama?Mtanzania wa kweli. Nyerere miaka 25 hakujenga uwanja wa ndege Butiama, wala mabenki au buga ya wanyama.Sasa tunaona nini ndani ya miaka mitano. Huyu hata ondoka madarakani, ni mbinafsi na arogant hata hana aya. Nyinyi wana Jeshi mmejitolea kulinda nchi hata kutoa tone la damu yenu ya mwisho, mnaona huyo jamaa anacho fanya?Chukueni nchi ili iwasaidie watanzania wote si wa chato tu.Ili at the end of the day kila Mtanzania afaidike kutokea Nanyamba mpaka Ngara.Sasa hivi Tanzania imekuwa ya watu wa Chato tu.
Duh... Msajili wa vyama vya siasa ni Mbowe?Cuf imeuliwa na Chadema!
Maalim na zitto wote sawa,wanajuanaCDM wako makini sana, wanamjua vizuri sana zitto, mimi nadhani aliyekula wa chuya ni maalim seif. Muda utaongea.
Tatizo lenu akili ni ndogo,na mnakuja kushtuka mwishoni na kuanza kujuta na kutumia maneno 'Tunge...'
Zitto ni mtu wa system wa muda wote.
Kwa hili sibahatishi.
Hivyo unafikiri system inawatumia watu wenye akili ndogo???
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lenu akili ni ndogo,na mnakuja kushtuka mwishoni na kuanza kujuta na kutumia maneno 'Tunge...'
Zitto ni mtu wa system wa muda wote.
Kwa hili sibahatishi.
Hivyo unafikiri system inawatumia watu wenye akili ndogo???
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajua kuwa ACT inakwenda kuwa chama kikuu cha upinzani kwa zile kura za maruhaniChadema bado wanamzungumzia sana Zitto kuliko Zitto anavyoizungumzia Chadema