Aliyeyaona ya Mrema 1995-2000 hawezi kuyashangaa ya Zitto 2015-2020

Aliyeyaona ya Mrema 1995-2000 hawezi kuyashangaa ya Zitto 2015-2020

Aliyeyaona ya Mrema miaka hiyo hawezi kumshangaa Zitto wote wapo kimkakati kutumika kumaliza kabisa nguvu ya upinzani Mrema alifanikiwa kukiua CUF badala ya CCM kama ambavyo zitto anataka kukiua chadema badala ya CCM kinachoendelea kwa zitto ni mkakati wa kukiua chadema na sio Ccm muda utaongea.

Leo Mrema anakula pension yake kupitia kupewa vyeo na ccm pia siku zitto akichoka msishangae anapewa vyeo ili kumpa fadhira ya kazi atakayokuwa ameifanya.

Ukweli mchungu chadema hamuwezi kwenda ikulu kwa kuendelea kuwakumbatia mamluki ndani ya upinzani kama wakina zitto mtaendelea kupigwa na ccm uo ndio ukweli.
CUF iliiua NCCR, Chadema kaiua CUF, ACT ataiua Chadema kuimba kupokezana.

Halafu wewe jamaa, ni hovyo sana. Kazi yako ni kuchonganisha watu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyeyaona ya Mrema miaka hiyo hawezi kumshangaa Zitto wote wapo kimkakati kutumika kumaliza kabisa nguvu ya upinzani Mrema alifanikiwa kukiua CUF badala ya CCM kama ambavyo zitto anataka kukiua chadema badala ya CCM kinachoendelea kwa zitto ni mkakati wa kukiua chadema na sio Ccm muda utaongea.

Leo Mrema anakula pension yake kupitia kupewa vyeo na ccm pia siku zitto akichoka msishangae anapewa vyeo ili kumpa fadhira ya kazi atakayokuwa ameifanya.

Ukweli mchungu chadema hamuwezi kwenda ikulu kwa kuendelea kuwakumbatia mamluki ndani ya upinzani kama wakina zitto mtaendelea kupigwa na ccm uo ndio ukweli.

Sio kweli!!

It is unfair hii

1995 mrema failed kwa sababu ya tume na system

2015 lowasa failed kwa sababu ya tume na system

Those are tough and only elections ambazo ccm suffered...mrema he did that without insta, fb, twitter, internet in general

Kusema mrema hakuwa real ni ku abuse nyonyo la mama yako na kuzifinya maning'inio ya baba yako

Mrema was real, he failed kwa sababu alikosa support yako wewe na mimi

Upinzani pamoja na kuwa kuna shida huko ila wanaoirudisha nyuma ni raia

Mrema alitelekezwa na jamii, ikamwona mpuuzi maana alikuwa painted ataleta vita

Mrema changed the game na akaupa nguvu upinzani na KAMWE KATIKA MAISHA YAKO USICHUME LAANA HII YA UKWELI

Mrema alikosa hela, hakuwa na maisha, wanachama kama walivyo wengine hawatoi ada, he was disconnected... Mrema aliteseka

Wafanyabiashara wa kichaga walimsaidia kisiri... Ila system ilimnyoosha mno

Kwa kuteseka kule useme kaua upinzani, umekosea mkuu... Unastahili matusi yote ya nguoni.... Lilaaniwe tumbo na kiuno kilichokuleta duniani

Mrema was real, wananchi tulimwangusha, days ambazo alikaa na njaa, hauzijui wewe

Heshima ya kupewa vikazi na JPM ni mbinu ya CCM kuonyesha dunia upinzani unashirikiana na serikali.. ila. Sio kwa upendo

Leo zitto akiacha ubunge, akanyimwa vyanzo vya fedha, wanachama wakamtelekeza.... Hali. Mchana wala usiku; kisha at the midst of that agony CCM wanampa kitu cha kuingiza hela na wana kitangaza sana, mno kiasi mpuuzi kama wewe unaona kanunuliwa... Huku ana familia ya kuilisha.. itabidi akubali tu

Wewe ni aidha mjinga mpumbavu, au mtoto haujui evolution za Mrema

Sisi wananchi ndio tatizo we dont give fully support kwa upinzani hasa financially

Hawa waliohama juzi kutoka cdm kwenda ccm they did so kwa sababu ya zitto na mrema?????

@#$_&_&$@&
 
Ndugu yangu Tanzania haitaingia kwenye democrasia ya kweli kupitia vyama vya siasa, hao wote ni wachumba wanacheza kwenye chumba kimoja, isipo kuwa CCM wapo kwenye master room, wengine wanacheza sebeleni, kwa hiyo CCM wanaangalia wewe unaweza kuingia master room na ukiingia kule unanyamaza, democrasia ya kweli itakuja pale Watanzania watakapo jua kuwa walikuwa wanachezewa .Wataingia mtaani na kudai mageuzi ya kweli. Hapo hakuna chama cha kisiasa cha sasa kitapona, Jeshi litaingilia kati tutaanza upya. Sasa hivi hakuna chama chochote ambacho kinaangalia masliha ya wananchi, wote wanaangalia matumbo yao. tuingie na sisi tule. Hospitali ya rufaa Chato wapi na wapi?Mbona Nyerere hakujenga hospitali ya rufaa Butiama?Mtanzania wa kweli.
Pole! Subiri watajenga Hospital kwenu pia
 
Zitto siyo mtu wa system, ni mnafiki na mamluki tu anayetumiwa na CCM kijanja sana! Zitto sio mtu wa kumuamini kabisa!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukiambiwa uthibitishe...with evidence utarukaruka weee

CDM nao wana watu kwenye system ndugu

Wangetoa evidence zote kumnyamazisha zitto

Akili ndogo unahitaji kuwa kama wenzio wenye IQ kubwa...just slight.Ukiona unashindwa kuwaza vizuri vitu vidogo fanya brain transplant
 
Ungekuwa na Akili hata kidogo usingeulizia ushahidi kama unaendesha kesi mahakamani hapa! Akili za ubishi hizo na kudhani unazo!

Zitto ni nyoka mwenye sumu kali! Hafai, msalimie

Aliyeyaona ya Mrema miaka hiyo hawezi kumshangaa Zitto wote wapo kimkakati kutumika kumaliza kabisa nguvu ya upinzani Mrema alifanikiwa kukiua CUF badala ya CCM kama ambavyo zitto anataka kukiua chadema badala ya CCM kinachoendelea kwa zitto ni mkakati wa kukiua chadema na sio CCM muda utaongea.

Leo Mrema anakula pension yake kupitia kupewa vyeo na CCM pia siku zitto akichoka msishangae anapewa vyeo ili kumpa fadhira ya kazi atakayokuwa ameifanya.

Ukweli mchungu CHADEMA hamuwezi kwenda Ikulu kwa kuendelea kuwakumbatia mamluki ndani ya upinzani kama wakina zitto mtaendelea kupigwa na ccm uo ndio ukweli.
Kwani unadhani CHADEMA ndicho chenye dhamana ya upinzani peke yake?
 
Cuf imeuliwa na Chadema!
Tatizo letu kubwa ni ushabiki wa kisiasa kiasi hata tunashindwa kutumia logic.
Aliyeiua CUF ni maalim Seif kutokana na ubishi, ujuaji na ujeuri aliokuwa nao. Niwakumbushe kidogo.
Baada ya kuhitilafiana kwake na Mwenyekiti wake Profesa Lipumba, Mwenyekiti huyo aliandika barua ya kujiuzulu nafasi hiyo.. Maalim Seif kama mtendaji wa chama alipaswa kuwasilisha barua hiyo kwenye kamati kuu ya chama ili iridhie hilo.
Hili hakulifanya kutokana dharau aliyokuwa nayo kwa kujiona kuwa yeye ndiye CUF. Baada ya mambo kuyumba baadhi ya wanachama walimuomba professa arudi naye akakubali. Kwa vile chama hakiku-respond kule kujiuzulu kwake, yeye aliandika barua ya kurejea na hapo maalim baada ya kutumia busara akatumia jeuri na mwisho wa siku mambo yakaharibika kabisa. Hapa wa kumlaumu ni CCM? au upuuzi wa uongozi wa CUF uliojaa dharau na kiburi???
 
Ninachokiona katika huu uzi ni kuwafarakanisha watu wa upande ule ili wasiaminiane.
 
Ungekuwa na Akili hata kidogo usingeulizia ushahidi kama unaendesha kesi mahakamani hapa! Akili za ubishi hizo na kudhani unazo!

Zitto ni nyoka mwenye sumu kali! Hafai, msalimie

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa hiyo ukilazimisha na Kukazia maneno inakuwa kweli??

Yaani nikisema leo mimi baba yako na nikasisitiza kuwa uamini nakuwa baba yako?

Baba yako mimi
 
Unaona unavyopotea! Unajua uzuri wa akili watu wakuone unazo, sio ujidai unazo....utaishia kuyia aibu tu na mifano ya iliyozoeleka kiasi kwamba haileti hata msisitizo tena!

Wacha kuabudu watu, huyo Zitto wako ni kirusi cha kansa ktk upinzani wenye akili wanajua.... unaetaka kuletewa mashahidi nyumbani kwako endelea kumsujudu!
Kwa hiyo ukilazimisha na Kukazia maneno inakuwa kweli??

Yaani nikisema leo mimi baba yako na nikasisitiza kuwa uamini nakuwa baba yako?

Baba yako mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHADEMA ilianza km taasis ndogo Sana imepitia meengi lakini kwa hali ya Sasa wangepambana kukawa na coalition vyama vyote vya upinzan viungane wapambane na CCM waweke maslahi ya uvyama pemben kipaumbele Cha kwanza kiwe kuitoa CCM Cha pili kuitoa CCM Cha tatu kuitoa CCM kwa siasa ya Sasa kuitoa CCM NI NGUMU imagine Kuna vyama ZAIDI ya 20 vya upinzani nikikumbuka 2015 vyama vinne viliungana japo kinafiki lakini CCM jasho liliwatoka navuta picha vyama 20 viungane CCM asubuhi saa 4 haina CHAKE kwanzia chini Hadi juu na upinzani ukianguka NI 50/50 bungeni na INAKUA mwisho wa kuburuzana na one man show

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani aliua UKAWA? Tuanzie hapo
 
Sio kweli!!

It is unfair hii

1995 mrema failed kwa sababu ya tume na system

2015 lowasa failed kwa sababu ya tume na system

Those are tough and only elections ambazo ccm suffered...mrema he did that without insta, fb, twitter, internet in general

Kusema mrema hakuwa real ni ku abuse nyonyo la mama yako na kuzifinya maning'inio ya baba yako

Mrema was real, he failed kwa sababu alikosa support yako wewe na mimi

Upinzani pamoja na kuwa kuna shida huko ila wanaoirudisha nyuma ni raia

Mrema alitelekezwa na jamii, ikamwona mpuuzi maana alikuwa painted ataleta vita

Mrema changed the game na akaupa nguvu upinzani na KAMWE KATIKA MAISHA YAKO USICHUME LAANA HII YA UKWELI

Mrema alikosa hela, hakuwa na maisha, wanachama kama walivyo wengine hawatoi ada, he was disconnected... Mrema aliteseka

Wafanyabiashara wa kichaga walimsaidia kisiri... Ila system ilimnyoosha mno

Kwa kuteseka kule useme kaua upinzani, umekosea mkuu... Unastahili matusi yote ya nguoni.... Lilaaniwe tumbo na kiuno kilichokuleta duniani

Mrema was real, wananchi tulimwangusha, days ambazo alikaa na njaa, hauzijui wewe

Heshima ya kupewa vikazi na JPM ni mbinu ya CCM kuonyesha dunia upinzani unashirikiana na serikali.. ila. Sio kwa upendo

Leo zitto akiacha ubunge, akanyimwa vyanzo vya fedha, wanachama wakamtelekeza.... Hali. Mchana wala usiku; kisha at the midst of that agony CCM wanampa kitu cha kuingiza hela na wana kitangaza sana, mno kiasi mpuuzi kama wewe unaona kanunuliwa... Huku ana familia ya kuilisha.. itabidi akubali tu

Wewe ni aidha mjinga mpumbavu, au mtoto haujui evolution za Mrema

Sisi wananchi ndio tatizo we dont give fully support kwa upinzani hasa financially

Hawa waliohama juzi kutoka cdm kwenda ccm they did so kwa sababu ya zitto na mrema?????

@#$_&_&$@&
Sina cha kuongeza
 
comrade, wakati mwingine unatuaibisha wana CCM wenzio na ndiyo maana wapinzani wetu wanatuona ni viazi tu... kwa hili si ungeuliza tu kwa wanaojua wakuelimishe kidogo comrade?
Haya ni mambo ya ndani sana manka huwezi kuyajua!
 
Haya ni mambo ya ndani sana manka huwezi kuyajua!
aah comrade Fatuma unaniangusha bana!

hapa ndipo tusi la "viazi" naona linawastahili baadhi ya wana CCM wenzetu.
yaani jambo lililo wazi kabisa kama hili wewe mwenzetu unaliona la ndani sana kweli comrade Fatuma?
 
Manka hili la Chadema kuiuwa Cuf liko nje ya uwezo wako kulibaini hapo Ufipa.

Wewe endelea tu kumsindikiza Halima ugangani huko kwa madiba......hilo ndilo uliwezalo!
 
Back
Top Bottom