CUF iliiua NCCR, Chadema kaiua CUF, ACT ataiua Chadema kuimba kupokezana.Aliyeyaona ya Mrema miaka hiyo hawezi kumshangaa Zitto wote wapo kimkakati kutumika kumaliza kabisa nguvu ya upinzani Mrema alifanikiwa kukiua CUF badala ya CCM kama ambavyo zitto anataka kukiua chadema badala ya CCM kinachoendelea kwa zitto ni mkakati wa kukiua chadema na sio Ccm muda utaongea.
Leo Mrema anakula pension yake kupitia kupewa vyeo na ccm pia siku zitto akichoka msishangae anapewa vyeo ili kumpa fadhira ya kazi atakayokuwa ameifanya.
Ukweli mchungu chadema hamuwezi kwenda ikulu kwa kuendelea kuwakumbatia mamluki ndani ya upinzani kama wakina zitto mtaendelea kupigwa na ccm uo ndio ukweli.
Aliyeyaona ya Mrema miaka hiyo hawezi kumshangaa Zitto wote wapo kimkakati kutumika kumaliza kabisa nguvu ya upinzani Mrema alifanikiwa kukiua CUF badala ya CCM kama ambavyo zitto anataka kukiua chadema badala ya CCM kinachoendelea kwa zitto ni mkakati wa kukiua chadema na sio Ccm muda utaongea.
Leo Mrema anakula pension yake kupitia kupewa vyeo na ccm pia siku zitto akichoka msishangae anapewa vyeo ili kumpa fadhira ya kazi atakayokuwa ameifanya.
Ukweli mchungu chadema hamuwezi kwenda ikulu kwa kuendelea kuwakumbatia mamluki ndani ya upinzani kama wakina zitto mtaendelea kupigwa na ccm uo ndio ukweli.
Pole! Subiri watajenga Hospital kwenu piaNdugu yangu Tanzania haitaingia kwenye democrasia ya kweli kupitia vyama vya siasa, hao wote ni wachumba wanacheza kwenye chumba kimoja, isipo kuwa CCM wapo kwenye master room, wengine wanacheza sebeleni, kwa hiyo CCM wanaangalia wewe unaweza kuingia master room na ukiingia kule unanyamaza, democrasia ya kweli itakuja pale Watanzania watakapo jua kuwa walikuwa wanachezewa .Wataingia mtaani na kudai mageuzi ya kweli. Hapo hakuna chama cha kisiasa cha sasa kitapona, Jeshi litaingilia kati tutaanza upya. Sasa hivi hakuna chama chochote ambacho kinaangalia masliha ya wananchi, wote wanaangalia matumbo yao. tuingie na sisi tule. Hospitali ya rufaa Chato wapi na wapi?Mbona Nyerere hakujenga hospitali ya rufaa Butiama?Mtanzania wa kweli.
Zitto siyo mtu wa system, ni mnafiki na mamluki tu anayetumiwa na CCM kijanja sana! Zitto sio mtu wa kumuamini kabisa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo aliyebebwa kilaini ni Zitto!Duh... Msajili wa vyama vya siasa ni Mbowe?
Lipumba, amekataliwa na wanachama wake, nyie CCM mnalazimisha aendelee kuwa mwenyekiti.
Haya chama hichooooooooooo Zitto kajibebea kilaini
Ukiambiwa uthibitishe...with evidence utarukaruka weee
CDM nao wana watu kwenye system ndugu
Wangetoa evidence zote kumnyamazisha zitto
Akili ndogo unahitaji kuwa kama wenzio wenye IQ kubwa...just slight.Ukiona unashindwa kuwaza vizuri vitu vidogo fanya brain transplant
Kwani unadhani CHADEMA ndicho chenye dhamana ya upinzani peke yake?Aliyeyaona ya Mrema miaka hiyo hawezi kumshangaa Zitto wote wapo kimkakati kutumika kumaliza kabisa nguvu ya upinzani Mrema alifanikiwa kukiua CUF badala ya CCM kama ambavyo zitto anataka kukiua chadema badala ya CCM kinachoendelea kwa zitto ni mkakati wa kukiua chadema na sio CCM muda utaongea.
Leo Mrema anakula pension yake kupitia kupewa vyeo na CCM pia siku zitto akichoka msishangae anapewa vyeo ili kumpa fadhira ya kazi atakayokuwa ameifanya.
Ukweli mchungu CHADEMA hamuwezi kwenda Ikulu kwa kuendelea kuwakumbatia mamluki ndani ya upinzani kama wakina zitto mtaendelea kupigwa na ccm uo ndio ukweli.
Tatizo letu kubwa ni ushabiki wa kisiasa kiasi hata tunashindwa kutumia logic.Cuf imeuliwa na Chadema!
Ungekuwa na Akili hata kidogo usingeulizia ushahidi kama unaendesha kesi mahakamani hapa! Akili za ubishi hizo na kudhani unazo!
Zitto ni nyoka mwenye sumu kali! Hafai, msalimie
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ukilazimisha na Kukazia maneno inakuwa kweli??
Yaani nikisema leo mimi baba yako na nikasisitiza kuwa uamini nakuwa baba yako?
Baba yako mimi
Nani aliua UKAWA? Tuanzie hapoCHADEMA ilianza km taasis ndogo Sana imepitia meengi lakini kwa hali ya Sasa wangepambana kukawa na coalition vyama vyote vya upinzan viungane wapambane na CCM waweke maslahi ya uvyama pemben kipaumbele Cha kwanza kiwe kuitoa CCM Cha pili kuitoa CCM Cha tatu kuitoa CCM kwa siasa ya Sasa kuitoa CCM NI NGUMU imagine Kuna vyama ZAIDI ya 20 vya upinzani nikikumbuka 2015 vyama vinne viliungana japo kinafiki lakini CCM jasho liliwatoka navuta picha vyama 20 viungane CCM asubuhi saa 4 haina CHAKE kwanzia chini Hadi juu na upinzani ukianguka NI 50/50 bungeni na INAKUA mwisho wa kuburuzana na one man show
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina cha kuongezaSio kweli!!
It is unfair hii
1995 mrema failed kwa sababu ya tume na system
2015 lowasa failed kwa sababu ya tume na system
Those are tough and only elections ambazo ccm suffered...mrema he did that without insta, fb, twitter, internet in general
Kusema mrema hakuwa real ni ku abuse nyonyo la mama yako na kuzifinya maning'inio ya baba yako
Mrema was real, he failed kwa sababu alikosa support yako wewe na mimi
Upinzani pamoja na kuwa kuna shida huko ila wanaoirudisha nyuma ni raia
Mrema alitelekezwa na jamii, ikamwona mpuuzi maana alikuwa painted ataleta vita
Mrema changed the game na akaupa nguvu upinzani na KAMWE KATIKA MAISHA YAKO USICHUME LAANA HII YA UKWELI
Mrema alikosa hela, hakuwa na maisha, wanachama kama walivyo wengine hawatoi ada, he was disconnected... Mrema aliteseka
Wafanyabiashara wa kichaga walimsaidia kisiri... Ila system ilimnyoosha mno
Kwa kuteseka kule useme kaua upinzani, umekosea mkuu... Unastahili matusi yote ya nguoni.... Lilaaniwe tumbo na kiuno kilichokuleta duniani
Mrema was real, wananchi tulimwangusha, days ambazo alikaa na njaa, hauzijui wewe
Heshima ya kupewa vikazi na JPM ni mbinu ya CCM kuonyesha dunia upinzani unashirikiana na serikali.. ila. Sio kwa upendo
Leo zitto akiacha ubunge, akanyimwa vyanzo vya fedha, wanachama wakamtelekeza.... Hali. Mchana wala usiku; kisha at the midst of that agony CCM wanampa kitu cha kuingiza hela na wana kitangaza sana, mno kiasi mpuuzi kama wewe unaona kanunuliwa... Huku ana familia ya kuilisha.. itabidi akubali tu
Wewe ni aidha mjinga mpumbavu, au mtoto haujui evolution za Mrema
Sisi wananchi ndio tatizo we dont give fully support kwa upinzani hasa financially
Hawa waliohama juzi kutoka cdm kwenda ccm they did so kwa sababu ya zitto na mrema?????
@#$_&_&$@&
Mzee Duni na TechnicallyNani aliua UKAWA? Tuanzie hapo
Kumbe ZZK hausiki alishachomolewa zamani?CHADEMA imeuliwa na Lowassa pamoja na Mbowe, Zitto kashaondoka(kufukuzwa) tangu 2015.
Zitto na Maalim wote lao moja, wapinzani wa kweli wawe makini nao!CDM wako makini sana, wanamjua vizuri sana zitto, mimi nadhani aliyekula wa chuya ni maalim seif. Muda utaongea.
comrade, wakati mwingine unatuaibisha wana CCM wenzio na ndiyo maana wapinzani wetu wanatuona ni viazi tu... kwa hili si ungeuliza tu kwa wanaojua wakuelimishe kidogo comrade?technically,
Cuf imeuliwa na Chadema!
Haya ni mambo ya ndani sana manka huwezi kuyajua!comrade, wakati mwingine unatuaibisha wana CCM wenzio na ndiyo maana wapinzani wetu wanatuona ni viazi tu... kwa hili si ungeuliza tu kwa wanaojua wakuelimishe kidogo comrade?
aah comrade Fatuma unaniangusha bana!Haya ni mambo ya ndani sana manka huwezi kuyajua!
Manka hili la Chadema kuiuwa Cuf liko nje ya uwezo wako kulibaini hapo Ufipa.aah comrade Fatuma unaniangusha bana!
hapa ndipo tusi la "viazi" naona linawastahili baadhi ya wana CCM wenzetu.
yaani jambo lililo wazi kabisa kama hili wewe mwenzetu unaliona la ndani sana kweli comrade Fatuma?