niko hapa hapa mtaani kwetu Lumumba, comrade Fatuma.Manka hili la Chadema kuiuwa Cuf liko nje ya uwezo wako kulibaini hapo Ufipa.
Wewe endelea tu kumsindikiza Halima ugangani huko kwa madiba......hilo ndilo uliwezalo!
Ila Halima anakuweza manka!niko hapa hapa mtaani kwetu Lumumba, comrade Fatuma.
Chadema siwawezi wale bila msaada wa polisi. hata mwenyekiti wetu mstaafu JK alishalisema hili!
Tatizo letu kubwa ni ushabiki wa kisiasa kiasi hata tunashindwa kutumia logic.
Aliyeiua CUF ni maalim Seif kutokana na ubishi, ujuaji na ujeuri aliokuwa nao. Niwakumbushe kidogo.
Baada ya kuhitilafiana kwake na Mwenyekiti wake Profesa Lipumba, Mwenyekiti huyo aliandika barua ya kujiuzulu nafasi hiyo.. Maalim Seif kama mtendaji wa chama alipaswa kuwasilisha barua hiyo kwenye kamati kuu ya chama ili iridhie hilo.
Hili hakulifanya kutokana dharau aliyokuwa nayo kwa kujiona kuwa yeye ndiye CUF. Baada ya mambo kuyumba baadhi ya wanachama walimuomba professa arudi naye akakubali. Kwa vile chama hakiku-respond kule kujiuzulu kwake, yeye aliandika barua ya kurejea na hapo maalim baada ya kutumia busara akatumia jeuri na mwisho wa siku mambo yakaharibika kabisa. Hapa wa kumlaumu ni CCM? au upuuzi wa uongozi wa CUF uliojaa dharau na kiburi???
Wacha ujuha wa distort point.Acha Pumba.
Ikiwa karibu ya 90% ya wanachama wa CUF wametimkia ACT kwa Maalim labda utwambie ni wanachama gani hao waliomumba Lipumba arudi?
Na wapi chama cha CUF kiliyumba wakati kiliibukua kidedea na majimbo 10 bara amabayo hawakuwahi kuyapata huko nyuma?
Sawa mwananguUnaona unavyopotea! Unajua uzuri wa akili watu wakuone unazo, sio ujidai unazo....utaishia kuyia aibu tu na mifano ya iliyozoeleka kiasi kwamba haileti hata msisitizo tena!
Wacha kuabudu watu, huyo Zitto wako ni kirusi cha kansa ktk upinzani wenye akili wanajua.... unaetaka kuletewa mashahidi nyumbani kwako endelea kumsujudu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wenye macho na masikio waone na kusikia...Aliyeyaona ya Mrema miaka hiyo hawezi kumshangaa Zitto wote wapo kimkakati kutumika kumaliza kabisa nguvu ya upinzani Mrema alifanikiwa kukiua CUF badala ya CCM kama ambavyo zitto anataka kukiua chadema badala ya CCM kinachoendelea kwa zitto ni mkakati wa kukiua chadema na sio CCM muda utaongea.
Leo Mrema anakula pension yake kupitia kupewa vyeo na CCM pia siku zitto akichoka msishangae anapewa vyeo ili kumpa fadhira ya kazi atakayokuwa ameifanya.
Ukweli mchungu CHADEMA hamuwezi kwenda Ikulu kwa kuendelea kuwakumbatia mamluki ndani ya upinzani kama wakina zitto mtaendelea kupigwa na ccm uo ndio ukweli.
kwa kweli ameniweza indirectly maana anavyowabana wabunge wa chama changu huko bungeni na jimboni kwake ni kama kaniweza na mimi aisee.Ila Halima anakuweza manka!
Basi haya msiruke tena dhamani!kwa kweli ameniweza indirectly maana anavyowabana wabunge wa chama changu huko bungeni na jimboni kwake ni kama kaniweza na mimi aisee.
kwa hiyo dada Fatu.... yes nakubaliana nawe kuwa Halima katuweza CCM!
CUF orijino ndio wepi hao!CHADEMA ndiyo walimrudisha Lipumba pale Buguruni kwa mtutu wa bunduki wakati wana CUF orijino walikuwa hawamtaki!!??