Aliyonifanyia huyu dada, naapa sitapenda tena zaidi ya kutamani na kuzagamua

Wakuu,
Mwaka 2022, alitokea binti mrembo machoni pangu, mrefu, black beauty, mnene kiasi mpole, mstaarabu na mwenye adabu sana
Basi bwana kikaingiza mikorogo na gia zangu ili badae awe wife material badae manake niliona upole, ustaarabu na utulivu wake ndio ulinivutia kuwa huenda akawa wife material wa maisha
Binti mwanzo alizingua kidogo badae akakubali, basi mapenzi yameendelea na ahadi kedekede, mala ooh! Mume wangu, wewe ni wamaisha yangu, stakusaliti, mara siku ukiniacha nitajinyonga walah na mambo kadha wa kadhaa.

Basi
Another Man 👎 👎
 
Nenda kauze kule fb.
 
Haya ...Basi...
 
Hakuna shida
 
Mods wanaboa tabia yao ya kubadili title ya uzi.
 
Back
Top Bottom