Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yale ni mambo binafsi tatizo ameyafanya mahali ambapo sio!
Hajamkosea mtu!!Kwa hiyo ni kama ametukosea watanzania.
Nyie nanyi mmezidi...kitu kimeshajadiliwa mara mia kidogo bado mnaanzisha mijadala mipya yenye maudhui yale yale!HAMCHOKI??!
Ni umalaya binafsi,hakuna hata bint 1 alielewa kimaadili yakidini na kiafrika atafanya uchafu kama huo
Nadhaniu kwa jinsi watanzania na waafrika wengine walivyoshiriki kumsema huyu "mkurya" mwenzangu inatosha.
Bila shaka ujumbe umemfikia, aibu ameipata na kama ni darasa amehitimu vidato, tumuache sasa apumzike inatosha maana hata kwa mzee mengi sijui kama atathubutu kurudi kukaa tena kwenye runinga.