Aliyoyafanya Bhoke BBA, ni makosa au ni mambo binafsi?

Aliyoyafanya Bhoke BBA, ni makosa au ni mambo binafsi?

Minaona ni utawala binafsi,yule sio mtoto na program sio ya watoto,alikuwa na malengo yake nafikiri by this time ameyapata,rules of the game zote alikuwa anazifahamu.
 
Yale ni mambo binafsi tatizo ameyafanya mahali ambapo sio!
 
Nyie nanyi mmezidi...kitu kimeshajadiliwa mara mia kidogo bado mnaanzisha mijadala mipya yenye maudhui yale yale!HAMCHOKI??!
 
Ni umalaya binafsi,hakuna hata bint 1 alielewa kimaadili yakidini na kiafrika atafanya uchafu kama huo
 
Nyie nanyi mmezidi...kitu kimeshajadiliwa mara mia kidogo bado mnaanzisha mijadala mipya yenye maudhui yale yale!HAMCHOKI??!

Kimejadiliwa wapi bibiye. Mi sikufanikiwa kuona majadiliano hayo.
 
Ni umalaya binafsi,hakuna hata bint 1 alielewa kimaadili yakidini na kiafrika atafanya uchafu kama huo

Alianza Mwisho Mwampamba,
Akaja Richard, hadi waziri akaenda kumpokea kule airport..
Mbona haikuonekana kama ni makosa? Tena watu waliwashabikia kwa ushujaa. Iweje leo kwa huyu mtoto wa kike?
 
Nadhaniu kwa jinsi watanzania na waafrika wengine walivyoshiriki kumsema huyu "mkurya" mwenzangu inatosha.

Bila shaka ujumbe umemfikia, aibu ameipata na kama ni darasa amehitimu vidato, tumuache sasa apumzike inatosha maana hata kwa mzee mengi sijui kama atathubutu kurudi kukaa tena kwenye runinga.

Mkuu mbona dadako nilimwona anaendesha kipindi mwanzoni mwa wiki hii kati ya J3 au J4 hivi pale channel 5, au kilirekodiwa kabla ya uroda? Hata kama kilirekodiwa kabla, ningekuwa mimi ndo mkurugenzi wa kituo hicho ningefuta kumbukumbu zake zoooooote!
 
Back
Top Bottom