Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
ALIYOYAFANYA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Aliyoyafanikisha mwaka 2022.
- Madarasa Mapya 15,000
- Wanafunzi 907,802 Wajiunga Kidato cha Kwanza kwa Pamoja
- Ada Kidato cha 5 & 6 Yafutwa, Elimu Bure Msingi hadi Sekondari
- Nyongeza ya Mishahara ya Wafanyakazi
- Walimu Wakalipwa Malimbikizo ya Mishahara Yao Bilioni 117.6
- Bilioni 106 Zaongezwa kwenye Mikopo Elimu ya Juu Kufikia Bilioni 570
- Royal Tour Ikaongeza Watalii zaidi ya 60%
- Bilioni 954 Bajeti ya Kilimo, Ongezeko zaidi ya mara 3
- Bilioni 150 Ruzuku ya Mbolea kwa Wakulima
- Ujenzi wa Hospitali za Rufaa KATAVI, GEITA, NJOMBE, SONGWE, na SIMIYU
- Ujenzi na Ukarabati wa Vituo vya Afya 304
- Bima ya Afya kwa Wote yaanza kufanyiwa Kazi
- Ujenzi Bwawa la Julius Nyerere Umefikia 78%
- Kigoma Ikaunganishwa na Umeme wa Gridi ya Taifa kwa mara ya kwanza
- Miradi ya Maji zaidi ya 190 Kunufaisha Mamilioni ya Watanzania
- Milioni 10 kwa Machinga kila Mkoa
- SGR Inajengwa kwa Kasi zaidi, kwenda hadi Mkoa wa Kigoma
- Kuimarishwa kwa Uhusiano wa Kimataifa
- Mchakato wa Maridhiano na Vyama vya Siasa
- Uwekezaji wa Dola za Kimarekani Bilioni 3.16 kati ya Julai na Novemba pekee
- Uchumi Umefunguka, Mzunguko wa Fedha Umeongezeka