Aliyoyazungumza Rais Samia baada ya kuwasili nchini akitokea New York - Marekani

Kudaadeki!

Mungu fundi sana 😁😁😁😁😁😁😁
 
Hili taifa sijui watu wake wataacha lini ushamba wa kipuuzi. Sasa kulikuwa na haja gani ya kwenda kujazana pale airport wakati wangewe kwenda kukutana huko kwenye jumba lao la kupiga madeal
 
Ndoto ni sehemu ya mawazo pia
 
Mwanamke kutwa kuswampa..ngoja aje aachike.
 
Majukumu ya kitaifa yalikuwa mengi sana na Hayati Magufuli aliomba ayatekeleze na sasa Rais Samia ameona ni vyema aende. Yote ni mambo mema kwa manufaa ya taifa letu pendwa la Tanzania.
 
Huyu mama anapaswa kupingwa hadharani na kila mtu mwenye akiri timamu
Mama anatakiwa kuungwa mkono na watanzania wote wanaoitakia nchi yetu mema.
Wale wanaotaka mabaya waache njia zao mbaya.
 
hahahaha alienda kuipasha dunia sio?
Rais anatekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM.

Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020/2025 Sura ya Saba (7), Kipengele cha 132, ukurasa wa 184 inaelekeza:
"Kuimarisha sauti ya Tanzania na taswira yake katika medani ya uhusiano wa kikanda na kimataifa.”
 
Rais anatekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM.

Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020/2025 Sura ya Saba (7), Kipengele cha 132, ukurasa wa 184 inaelekeza:
"Kuimarisha sauti ya Tanzania na taswira yake katika medani ya uhusiano wa kikanda na kimataifa.”
Hivi kuna Rais au mjumbe kutoka Taifa lolote lile ambaye katiba hotuba yake amesema anakubaliana au aumependezwa na hoja au msimamo wa Tanzania kama ulivyowasilishwa na huyo mama kwenye hiyo hotuba yake.

Kama yupo ningependa kujua.

Kama hayupo maana yake huyo mama aliongea utopolo tu.

Yaani mimi hiyo safari yake pamoja na hotuba yake, vyote viwili navifafananisha na safari ya mama Maria Nyerere kwenda kwenye mkutano wa kampeni wa Magufuri, pamoja na yale maneno yake kwamba wao wengine wamekwenda pale ili ionekane uwanja umejaa.


hicho ndio alikwenda Samia kufanya kwenye mkutano wa UN, Kujaza ukumbi, na kuonekana kwamba amekwenda.

hamna kitu kingine.

zaidi ametumia tozo vibaya, basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…