All good men are married, so sad

Divorced Mvivu Kufua Elimu Kiduchu 4 Kids.. Hela za Kuungaunga... If Interested Welcome Pm... Only God knows the Destiny of His People
 
Mwambieni mwehu huyo😅 na wale wanaotaka vya kunyonga ready made wa tall handsome and black with money.., we uliskia wapi???

Wakati wenzenu wanatuvumilia toka tukiwa 0” hatuna mbele wala nyumana kutupa idea za kutoboa nyie mlikuwa busy kutupiga vibuti na kuslay huku mkibadilisha matozi from every corner of the town😅😅😅 imefikia wakati sasa tushatoboa tunawalea wanawake zetu nyie wapuuzi mnajileta ndio mmeona sahizi tunajielewa eeh😜😜😜! Yani bila aibu eti, “Kwanini waume za watu ndio the most smart and caring men” because they were built for that with their women you crazy lady!

Hili liwe fundisho kwa wote mnaopenda kukatiza denge kwenye maisha😂😂😂! Sahizi mwanamke yuko 37 ati ndio anakumbuka kumbe alitakiwa kujenga solid relationship on her early twenties ili mpaka kufikia late twenties wangeoana wakiwa washafikia pazuri au kutoboa kabisa.
 
Wewe bibi wa 35yrs unatafuta Kijana wa 37yrs?
Rekebisha hapo iwe 45 and above


Mkuu naona umeamua kuua kabisa matumaini ya huyu dada yetu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

On a serious note, mwanaume yoyote smart, anaejiweza mwenye umri wa miaka 37 hawezi kamwe hata kuwaza kutoka na mwanamke wa miaka 35! Sisi "vijana" wa umri huo target zetu ni vibinti vya miaka 19 mpaka 22 ikizidi saaana 25 hapo ni mwisho. Anyway tusimkatishe tamaa dada yetu huwezi jua.
 
Unamika 35 na unaleta masharti na vigezo vyote hivyo kweli tuko kwenye wakati mgumu sana.
BY THE WAY RATIO NI 1:3...
 
Mama uo umri weng wameoa shusha kidg nakushauri 31 niko hapa mie
Ila kigezo cha kwanza lazma uwe msafi yaaaan ndani mpk mwili wako na nafsi tutaendana
 
Hapo kwenye sifa ya "Caring person" Kuna kitu unajaribu kuficha ficha.

Hebu nyoosha maelezo vizur[emoji4]
Anatafuta sponsor huyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wahi jua linazama mama. Kwa Umri huo wakubwa wenzako wengi wameo. Ina maana level zote huko za elimu ulikopita hukuwahi kuwa na mchumba sahihi ndugu? Mungu asikile kilio chako akupatie mume bora
 
Aisee binafsi watoto under 30 hapana hata kidogo. Na umri huu nadate na 22-25 nampeleka wapi yani!
 
1. Caring
2. God fearing
3. Mchapakazi
4. Charming
5. RC
6. Smart
Ila niko Married
 
Unamchokonoa bure tu unajua exactly akisema kinywaji hatumii anamaanisha nini.....Jiongeze kiutu uzima.....
 
Aisee binafsi watoto under 30 hapana hata kidogo. Na umri huu nadate na 22-25 nampeleka wapi yani!

Hapo ndio tunapotofautiana. Mi mke wangu ana above 30, sasa nikachepuke tena na mtu mwenye above 30 hapo tofauti itakua wapi? Halafu hua naona wadada above 30 mileage lazima zitakua zimesoma balaa na watoto juu. Hapana kwakweli, acha nife na hawa 20 - 25 japo nao ni pasua kichwa ila watamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…