Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Na bado impact yake haijaanza kuonekana vizuri. Huu ni mwanzo tu. Baada ya miaka 10 kuanzia sasa tutaona matunda ya "women empowerment agendas".Madhara ya 50/50 ndo haya!
Sijui kipindi hicho wataolewa na nani. Ule utabiri maarufu wa Nabii Isaya 4:1 unakaribia kutimia.