All good men are married, so sad

All good men are married, so sad

Kinywaji hutumii inamaana hata maji hunywi??? Mpaka hapo ushakosa vigezo inaonyesha wewe muongo! Na ukisema ni typing error au ulisahau kuweka vizuri maelezo Bado utakua hufai kwa matumizi ya Mke mmaana utakua upo Careless kwa vitu vidogo vidogo na muhimu.

Halafu hutakiwi kumuogopa Mungu bali anataka umtii na kumuheshimu. Kila siku anawambia mumfanye kua Rafiki yake maana yeye haogofyi mpaka mumuogope







Don't be mad at me natania tu!!
Hakuna kitu kilicho ta full potential (100%) All the Best mate👊
Ujumbe umefika hata kama unatania
 
Kuna msemo kua waume za watu smart huwa wanatengenezwa na wake zao. Pia kuna baadhi ya nyuzi humu wanaume wanakiri baada ya kukutana na mkewe tabia a,b,c kaziacha.

Sasa mkuu kupata mwenye izo sifa zote sio rahisi, mpate wa kwako ambae labda unaweza kuvumilia madhaifu yake na labda anaweza badilika akiwa na wewe.
Utakuja kuuawa kudandia waume za watu hujui mke kapitia mangapi mpaka mumewe awe hivyo alivyo.

Na kua makini umri huo kuchezewa si busara.
Huu ushauri mzuri sana

Komenti bora ya uzi
 
Back
Top Bottom