All good men are married, so sad

Unawaona smart kwa sababu wake zao wanahakikisha wanakuw hivyo, na ww tafuta wako mtengeneze! Ndio maana ukishaoa watoto ndio wanakuja kwa fujo zaidi
 
Mungu mwenyewe, aliyempigania Daniel kwenye shimo la Simba akupatie hitaji la moyo wako.

Amen.
 
Kutupiga fire ndio imefanya tumeanza kurudisha majeshi nyuma
 
Pata mume anayeishi kwenye ndoa yenye mazonge ama ambaye ni mtalaka kwa kosa la mwanamke .. Huyo ni mhitimu wa maswala ya ndoa UTA ENJOY
Wote unaowaelewa tayari wameshapigwa msasa ndio maana unaona wanafaa.. Tofauti na hapo Muombe Mungu sana akupe wako utakayempiga msasa pia
 
Tatizo kubwa kwetu Wakristo Ni Unafiki wa kusema Mume ni wa Mtu mmoja..Halafu unakuta michepuko 6 sasa Kipi Bora hasa kwa nyie akina dada...waruhusuni tena wapeni pressure waume zenu waoe ili mjulikane mko 2 au 3 basi muishi lakini kujifanya ooh Mume wangu hayupo mumeo pekee...Hayupo.
 
Do they become good baada ya kuoa? If that is the case, then jitwishe lishenzi limoja nalo litakuja kuwa smart likishakuoa
Sasa mtu ana mbususu inamsubiria nyumbani so atakuwa caring kwako maana anajua ata asipopata mbususu leo ataenda jipoza kwa mke.
 
Samahani una bwawa au iko tight??

Usije kuanza kusema sisi tuna matatizo kumbe tatizo ni ww.

Nawasilisha.
 
Una akili ndogo sana.

Kuwa na wake 30 hakukuzuii kuwa na michepuko kama ana tamaa.

Selemani alikuwa na wanawake 700 lakini hakuridhika, bado akawa na michepuko 300.

Kuoa wake wengi haijawahi kuwa tiba ya michepuko.
 
Nakushauri zaa nae huyo unaempenda. Usidanganye mtoto wa mtu hapa akajitokezaakakuoa wakati moyo wako uko kwa huyo baba mume wa mtu. Mtaendelea kuwa wapenzi na huna uwezo wa kumuacha hata ukiolewa.
sijaingia mahusiano nae. siwezi fanya kitu ambacho najua mama yanu hapendi. nimelelewa kwenye ndoa so bado nafata neon la mama
 
mimi staki kufichwa kama ARVs , afu mimi sijaingia nae mahusiano. yeye tu anasema nikikubali ataenda nyumbani .inshort staki hili jambo litokee
 
Tatizo inawezekana unataka mtu ambaye kashajijenga tayari.

Mtu smart mwenye potential, ambaye hana kipato kikubwa ambaye mnaweza kukua pamoja ushawahi kumfikiria?
its complicatred, 3yrs back nilikuwa kwenye relationship mzuri saana tu, ila hatukuweza kuendelea. mimi nililazimika kujitoa na kuanzia pale sijaingia kwenye mahusiano.
Ninahisi mimi sijichanganyi sana, mimi ni home kazini, most people ninaokutana nao kazini najikuta na wenye hizo status. nikikutana na hao unaowasema unakuta ni wadogo nawazidi umri,so siangiki nao, lakini nahisi moyo huwa ni mjinja moyo najikuta usha compare ujinga mara xwangu alikuwa hivi mara vile iweje niwe na huyu.nahisi ni nature ya binadumu kulinganisha tho its not a big deal. inachanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…