All in all mahusiano ni magumu

All in all mahusiano ni magumu

Tutafute ela tu
#2025
#2026
#2027
Stay focused💔💔📌
Pesa ni pesa na mapenzi ni Mapenzi, haijawah na haitotokea pesa kuchukua nafasi ya mapenzi au mapenzi kuchukua nafasi ya pesa.

Ndo maana mapenzi yanawatesa wenye pesa na wasio na pesa, nguvu ya pesa ikitumika kuchukua nafasi ya mapenzi basi mwisho wa siku kuna maumivu na majuto (wacheza soka wanajua vizuri hich kipengele)
 
Confused world.

Mchanyato wa pesa na ngono. Mwanamke anatamani pesa, mwanaume anatamani ngono.

Hakuna upendo na malengo ya pamoja hapo.

Kichwa kinageuka facult of confusion. Na hayo ndiyo yanaendelea kwenye uso wa dunia kwa sasa.
Kila mwezi ni kusupp tu 😂Kila mwezi mimi nishakula sana supp sababu ya kuchanganya malengo na kichwa cha chini 🥶

Infact kuna ile situation ya kwamba una believe "even tomorrow you will hustle and get some pepper" unajipa matumaini
 
Confused world.

Mchanyato wa pesa na ngono. Mwanamke anatamani pesa, mwanaume anatamani ngono.

Hakuna upendo na malengo ya pamoja hapo.

Kichwa kinageuka facult of confusion. Na hayo ndiyo yanaendelea kwenye uso wa dunia kwa sasa.
I wish nikuelezee jambo hili ukiwa serious unaoa ila usipokuwa serious hutopata mke wa malengo utakayo .

Ukiwa mchungu hupati mwanamke anayejielewa .
Mwanamke hapati mwanaume wakuoa akiwa hivi .
Anadharau
Hajali
ANakuwa anadai na malengo yake umtimizie
 
Huyoo anaakili yakipekee aki yaani huyu simjui ila comment zake anazilimit anaweka like tu ili asimalize keyboard ya simu aki huyu mtu sasa imagine ndio mpenzi wako unachoka kabisa
😹😹😹
 
yaani kama umempata naumempenda basi olewa ila kiukweli wa gumu sana wakutunza wao hadi unaona dunia imeisha kumbeee imo sasa jingine wao wanapenda sana ushirikina .

Yaani acha tu
😹😹😹
 
Back
Top Bottom