MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,057
- 39,387
As long as naenjoy mtajua wenyew🤣🤣🤣 yana muda basiiii!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
As long as naenjoy mtajua wenyew🤣🤣🤣 yana muda basiiii!
Kila bao unatoa kadollar mia twende kazi😹Weka bei basi tujekusasambua mbususu hiyo
🤣🤣🤣🤣 mtaachana tu.As long as naenjoy mtajua wenyew
Acha basi😂😂Amekutagi unajua kinachoendelea hapo
Ndo unashtuka saivi 😅😅😅Tutafute ela tu
#2025
#2026
#2027
Stay focused💔💔📌
Yaan nimechelewa ila ndo kujiwaiNdo unashtuka saivi 😅😅😅
PoleYaan nimechelewa ila ndo kujiwai
Food 😊Unauza nini
Sasa dollar mia mie mzee wa goli mbili za afya sii dollar 200 tuu, laki 5 hiyo. Haya naja pm tuyajenge nile mbususu ya mrembo wa jfKila bao unatoa kadollar mia twende kazi😹
Nitamtafuta mwengine🤣🤣🤣🤣 mtaachana tu.
😹🙌🏾Sasa dollar mia mie mzee wa goli mbili za afya sii dollar 200 tuu, laki 5 hiyo. Haya naja pm tuyajenge nile mbususu ya mrembo wa jf
Delusional expectations za wanawake zinaharibu sana mahusiano!!!Mahusiano sio magumu,inategemea tu ulipanga upate nini kwenye hayo mahusiano na unapokikosa ndio mahusiano yanapoanza ugumu...
Ouk don't worriesAcha basi😂😂
Ndyo maana naishi mbeya kumbeKambea 😹
Let factDelusional expectations za wanawake zinaharibu sana mahusiano!!!
Yaweza kuwa kwa baadhi yenu mnaweza kuwa au kupatikana kwa namna hiyo.I wish nikuelezee jambo hili ukiwa serious unaoa ila usipokuwa serious hutopata mke wa malengo utakayo .
Ukiwa mchungu hupati mwanamke anayejielewa .
Mwanamke hapati mwanaume wakuoa akiwa hivi .
Anadharau
Hajali
ANakuwa anadai na malengo yake umtimizie
Sawa ila sio woteYaweza kuwa kwa baadhi yenu mnaweza kuwa au kupatikana kwa namna hiyo.
Lakini ushauri kwetu WANAUME toka kwa aliewaumba yaani MUNGU ni kwamba TUISHI NA NINYI WANAWAKE KWA AKILI SANA. Maana hakuna fomula moja au maalumu ya kuishi na mwanamke isipokuwa akili yako ndio fomula.
Mwanamke asiejielewa sio kweli kwamba anapatikana kwa wanaume wachungu tu, tena ukiwa mwerevu ndio utapigwa matukio na mapritenda, magubegube na kuitwa poyoyo.