All in all mahusiano ni magumu

Pole ila usichukie wote,,, mapenzi na hela hawa ni mapacha KUWATENGANISHA NI NGUMU
 
Piga puli binti

Puli ni free kwa kila jinsia
Na kila kiumbe

Nmeona mbwa hapa anachukua sheria mkononi
 
Mahusiano sio magumu,inategemea tu ulipanga upate nini kwenye hayo mahusiano na unapokikosa ndio mahusiano yanapoanza ugumu...
Delusional expectations za wanawake zinaharibu sana mahusiano!!!
 
Yaweza kuwa kwa baadhi yenu mnaweza kuwa au kupatikana kwa namna hiyo.

Lakini ushauri kwetu WANAUME toka kwa aliewaumba yaani MUNGU ni kwamba TUISHI NA NINYI WANAWAKE KWA AKILI SANA. Maana hakuna fomula moja au maalumu ya kuishi na mwanamke isipokuwa akili yako ndio fomula.

Mwanamke asiejielewa sio kweli kwamba anapatikana kwa wanaume wachungu tu, tena ukiwa mwerevu ndio utapigwa matukio na mapritenda, magubegube na kuitwa poyoyo.
 
Sawa ila sio wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…