Nilianza kwa kusema kwamba, haya mambo hujipangii wewe kama mtu binafsi au kama nchi. Mtu kuitwa bilionea ni lazima uwe na hizo bilioni, au kuwa professor ni lazima ufikishe vigezo vilivyowekwa kidunia, sio jambo la mtu kujiita tu, huwezi kumvua mtu u pofessor wake aliotunukiwa kihalali eti kwasababu tu huoni kama anastahili.
Kenya imetunukiwa status ya failed state, hata kama huamini au hupendi, hilo ni juu yako na wala haisumbui mtu. Tanzania bado haijabahatika kutunukiwa status ya failed state, huwezi kufanya lolote hata kama kwako wewe binafsi unadhani inapaswa iwe failed state, huo ni mtazamo wako endelea kuwa nao kaka, ni haki yako kufikiria vile upendavyo.