All is set for Somalia to join the EAC

All is set for Somalia to join the EAC

But is not a failed state like Kenya, we have enough food, water, security, employment, no slums, no corruption, no hunger, no tribalism
But 92% of Dar is Slum and you are divided politically with shootings and killings perpetrated against the Opposition leaders plus your country people are malnourished and finally ranked an LDC.
 
Kenya ranked as 'failed state'
Mbona hutaki kuelewa?, sio mimi niliyeiweka Kenya katika kundi la failed state, nimekuwekea link hapo, mbona hutaki kuelewa?

Kama unataka kutumia reasoning, Kenya haipaswi kuwa katika kundi la Lower middle income countries, hakuna nchi yoyote iliyopo katika kundi hilo na bado inategemea food donations, labda kama ina civil war.
Mkuu hiyo link yako ni ya Monday June 24 2013,baada ya uchaguzi,habari ilikuwa inaongelea hali ya uchaguzi kwa wakari ule,hata Tanzania kwa miaka hiyo hali ilikuwa shwari...

Kwanza unataka ufahamu nini maana ya "failed state",na huyo mwandishi alikusudia nini kuiita Kenya failed state kwa wakati alipoandika hii article
 
Hivi wewe jamaa ni timamu kweli

Kivipi Kenya ni threat kwa uchumi Wa SA

Kenya sio threat , Kenya hana vigezo vya kujiunga SADC na hii ni kwa sababu ya USALITI wake na siku EAC ikivunjika sijui mtaenda Block ipi
Duh toa sababu kwanini Kenya sio economic athreat ya SA.....swala la usaliti sio issue katika uchumi Marikani esingefanya biashara na Russia au Egypt esinge fanya biashara na Isreal what matters is "economic intrest" usaliti we miaka ya 80s 90s no argument za kitoto baba
 
Hujui lolote Bali unamezeshwa matango pori
wewe unaejua tujuzu,tukitaka tusitake wakenya wametuzidi kiuchumi,bidhaa zao zimeaa kwenye maduka na supermarket zetu,ukenda Kenya hukuti hata bidhaa moja ya Tanzania kwenye maduka ya Kenya,kwasababu hatuna cha kuuza,Tanzania ndio kwanza inajitangaza kuwa inataka kuwa nchi ya viwanda,Wakenya imekuwa nchi ya viwanda Tangu wakati wa ukoloni,
 
Duh toa sababu kwanini Kenya sio economic athreat ya SA.....swala la usaliti sio issue katika uchumi Marikani esingefanya biashara na Russia au Egypt esinge fanya biashara na Isreal what matters is "economic intrest" usaliti we miaka ya 80s 90s no argument za kitoto baba
Hakuna , sababu ebu nipe sababu ya kwanini Kenya sio member Wa SADC??

Hiyo ndiyo hoja ya msingi ,achana na porojo za kuaminishwa visivyokuwapo
 
Mara ya mwisho kwenda Kenya lini?

Na je umetembelea miji gani?

Na umetembelea mataifa gani mengine ya afrika

Na je kweli unaamini Kenya Middle income country??
 
Mkuu hiyo link yako ni ya Monday June 24 2013,baada ya uchaguzi,habari ilikuwa inaongelea hali ya uchaguzi kwa wakari ule,hata Tanzania kwa miaka hiyo hali ilikuwa shwari...

Kwanza unataka ufahamu nini maana ya "failed state",na huyo mwandishi alikusudia nini kuiita Kenya failed state kwa wakati alipoandika hii article
Kaka jaribu kusoma kwanza ujielimishe kabla ya kuandika, inaonekana unapenda kuandika kwanza baadae ndiyo unafikiria, huyo sio muandishi bali ni American firm waliobobea kufanya tafiti za aina hiyo duniani na kuzipanga nchi katika madaraja mbalimbali, Kenya imewekwa katika kundi la failed state katika tafiti tatu mfululizo, hiyo unayoiona ni tafiti ya mwisho kufanyika. Tafadhali jaribu kujielimisha kwanza, punguza kutumia kichwa chako bila facts wala ushahidi wowote.
 
Mbona SADC tumekaa mwakajana huko Lesotho. Makamu wa rais alimwakilisha mkuu wa nchi yetu?.
By the way SADC is the best block in Africa. Taja block yoyo inayoweza kuifikia SADC kwa uwezo, umoja na ushirikiano.
You are the dumping ground for South African products. What do you export to SADC Watu was Viwonder and how much is it Worth?
 
Hakuna , sababu ebu nipe sababu ya kwanini Kenya sio member Wa SADC??

Hiyo ndiyo hoja ya msingi ,achana na porojo za kuaminishwa visivyokuwapo
Sababu nikwamba Africa kusini ambaye ni giant in Sadc anaona Kenya kama competitor wake mkumbwa anaweza kuweka mashariti na sababu lukuki Kenya isiengii Sadc. kama unavo ona uturuki anawekewa mashariti kujiunga na EU .kwasababu kiuchumi ni ya Tano katika bloc ni competitor wa Fr Italy nk
 
Hivi unajua unachokijibu wewe

Kwa hiyo anayeruhusu member kujoin SADC ni SA,

Je unajua historia ya SADC? Na unajua sababu za Kujiunga na Umoja huo ?

Mpaka mwisho Wa Dunia Kenya hatokuwa na Sifa za Kujiunga SADC

Huo uchumi Wa makaratasi ya Kenya kuwa middle income country ni vichekesho
 
Duh toa sababu kwanini Kenya sio economic athreat ya SA.....swala la usaliti sio issue katika uchumi Marikani esingefanya biashara na Russia au Egypt esinge fanya biashara na Isreal what matters is "economic intrest" usaliti we miaka ya 80s 90s no argument za kitoto baba
Bidhaa zipi zinaxozalishwa Kenya ambazo ni threat kwa South Africa, au hata kwa Tanzania?, Kenya inacho export kwa wingi duniani ni maua na chai, bidhaa ambazo South Africa haizalishi. Kenya inauza Tanzania vitu kama maziwa, margarine, tairi za magari na dawa chache za binadamu, wakati Tanzania inauza Kenya, vyakula, gas ya kupikia, vinywaji vya viwandani, madini na music.

South Africa inaiuzia Kenya karibu vitu vyote, ukiondoa China na India, South Africa ni number 3 source ya imports za Kenya, balance of trade is very far away in favor of South Africa, huo ushindani unaousema ni upi?
 
Kaka jaribu kusoma kwanza ujielimishe kabla ya kuandika, inaonekana unapenda kuandika kwanza baadae ndiyo unafikiria, huyo sio muandishi bali ni American firm waliobobea kufanya tafiti za aina hiyo duniani na kuzipanga nchi katika madaraja mbalimbali, Kenya imewekwa katika kundi la failed state katika tafiti tatu mfululizo, hiyo unayoiona ni tafiti ya mwisho kufanyika. Tafadhali jaribu kujielimisha kwanza, punguza kutumia kichwa chako bila facts wala ushahidi wowote.
hahahaha usinifanye ni cheke Mkuu,nimejaribu kukufahamisha hii habari iliandikwa lini na kwa madhumuni gani,lakini naona bado hutaki kufahamu,nafikiri unashindwa kufahamu nini hasa huyu muandishi kakusudia alipoandika "failed state"...

Hii ilikuwa ni habari ya mwaka 2013,ilikuwa kuhusu uchaguzi wa kenya,kama unakumbuka wakenya wengi walipoteza maisha ule uchaguzi wa kwanza,kiasi ambacho Uhuru Kenyata alitaka kushtakiwa The hague.,Kenya ilikuwa "the failed state" kwa yale matokeo yaliyotkea wakati ule...

Sasa unataka kuniambia yaliotokea juzi Tanzania katika uchaguzi,mwanafuzi kapigwa risasi na polisi tuiite Tanzania ni "failed state"?
 
Sababu nikwamba Africa kusini ambaye ni giant in Sadc anaona Kenya kama competitor wake mkumbwa anaweza kuweka mashariti na sababu lukuki Kenya isiengii Sadc. kama unavo ona uturuki anawekewa mashariti kujiunga na EU .kwasababu kiuchumi ni ya Tano katika bloc ni competitor wa Fr Italy nk
Ngoja nikusaidie angalau uijue SADC na ujiulize kwanini EAC ni Tanzania pekee ndiye member Wa SADC na itabaki yenyewe tu ikiwa na heshima zote

a) What is SADC?

The Southern African Development Community is political and economic institution that provides a framework for regional integration in the region.

b) How was SADC formed?

The Southern African Development Community (SADC) started as Frontline States whose objective was political liberation of Southern Africa. SADC was preceded by the Southern African Development Coordination Conference (SADCC), which was formed in Lusaka, Zambia on April 01, 1980 with the adoption of the Lusaka Declaration (Southern Africa: Towards Economic Liberation). 

The formation of SADCC was the culmination of a long process of consultations by the leaders of the then only seven (7) majority ruled countries of Southern Africa, thus Angola, Botswana, Lesotho, Mozambique, Swaziland, United Republic of Tanzania and Zambia, working together as Frontline States. In May 1979 consultations were held between Ministers of Foreign Affairs and Ministers responsible for Economic Development in Gaborone, Botswana. Subsequently a meeting was held in Arusha, Tanzania in July 1979 which led to the establishment of SADCC on April 01, 1980 in Lusaka, Zambia.

On August 17, 1992, at their Summit held in Windhoek, Namibia, the SADC Heads of State and Government signed the SADC Treaty and Declaration that effectively transformed the Southern African Development Coordination Conference (SADCC) into the Southern African Development Community (SADC). The objective also shifted to include economic integration following the independence of the rest of the Southern African countries.

c) Who are SADC Member states?

SADC has a membership of 15Member States, namely; Angola,Botswana, Democratic Republic of Congo (DRC), Lesotho, Madagascar,Malawi, Mauritius, Mozambique,Namibia, Seychelles, South Africa,Swaziland, United Republic of Tanzania, Zambia and Zimbabwe.

d) How does SADC implement its plans?

SADC operations are centralised at the SADC Secretariat in Gaborone, Botswana since the 2001 restructuring process that has done away with the Member State – based Sector Coordinating Units (SCUs) that were coordinating the 21 Sectors of regional integration.

It provides operational facilitators support as the executive arm of the SADC organisational structure consists of Eight (8) directorates, namely, the Directorate of the Organ on Politics, Defence and Security Cooperation; the Directorate of Trade, Industry, Finance and Investment,Directorate of Infrastructure and Services; Directorate of Food, Agriculture and Natural Resources,Directorate of Social and Human Development and Special Programmes; Directorate of Policy, Planning and Resource Mobilisation;Directorate of Budget and Finance; and Directorate of Human Resources and Administration.

There are also five (5) stand-alone units responsible for cross-cutting issues, namely, Internal Audit,Information and Communications Technologies, Gender and Development, Legal Affairs and Public Relations established by the Council of Ministers as provided for by Article 15 (4 & 5) of the SADC Treaty.

e) Who are the key SADC Executive?

The current Executive Secretary is Dr. Stergomena Lawrence Tax. Her Deputy Executive Secretary: Regional Integration is Dr. Thembinkosi Mhlongo while the Deputy Executive Secretary: Finance & Administration is Ms. Emilie Ayaza Mushobekwa

f) How many inhabitants live in the region?

The SADC region has a population of almost 258 million (257, 726,000) that generates GDP (Gross Domestic Product) of 471,1 US$ billion.

g) What is SADC’s vision?

SADC's vision is that of a common future within a regional community that will ensure economic well-being, improvement of the standards of living and quality of life, freedom and social justice and peace and security for the people of Southern Africa. This shared vision is anchored on the common values and principles and the historical and cultural affinities that exist between the people of Southern Africa.

h) What is the SADC mission?

The SADC Mission is to promote sustainable and equitable economic growth and socio-economic development through efficient productive systems, deeper co-operation and integration, good governance, and durable peace and security, so that the region emerges as a competitive and effective player in international relations and the world economy.

i) How does SADC plan to tackle poverty?

The Regional Indicative Strategic Development Plan (RISDP) and the Strategic Indicative Plan for the Organ (SIPO) remain the frameworks for SADC Regional integration that provide SADC Member States with a consistent and comprehensive programme of long-term economic and social policies, and at the same time, it provides the SADC Secretariat and other SADC Institutions insights of SADC approved economic and social policies and priorities.

The RISDP reaffirms the commitment of SADC Member States to good political, economic and corporate governance entrenched in a culture of democracy, full participation by civil society, transparency and respect for the rule of law.

j) What is the Summit?

The annual Summit of the Heads of State is SADC’s highest decision-making body. It adopts decisions regarding SADC; determined the organizational structurel elects the rotating SADC chairperson each year and appoints the executive secretary. It makes these decisions by following the consensus principle. Leadership is overseen through Troika: the current chairperson is supported by their predecessor and successor. The Summit is convened annual – usually in August - but can also be summoned more frequently in urgent cases.

k) What is the Council of Ministers?

The Council of Ministers is the second highest level of authority and the highest functional level in SADC. It consists of one national minister from each member state. The Council of Ministers advises the Summit and always meets before the Summit takes place. The Council of Ministers oversees the work of SADC five directorates.

l) What is the SADC Treaty?

The SADC Treaty is the main framework for regional integration in the region. Adopted in Windhoek in 1992, its principles include democracy, human rights, peace and national sovereignty, its objectives focused on developmental goals, poverty reduction and collective self-reliance amongst others.

The Treaty was amended in 2001 at an extraordinary summit in Windhoek to include changes to the SADC structure and introduce the principle of a Troika leadership. The review also included the adoption of the Common Agenda and the Regional Indicative Strategic Development Plan (RISDP).

The SADC Treaty allows for sanctions against states which fail to implement the policies and decisions agreed by SADC, and also against states which apply policies undermining the decisions taken by SADC. Sanctions are determined by the Summit.

m) What is a protocol?

A protocol is a legal instrument of implementation of the SADC Treaty and provides a framework for action. SADC has a range of sectoral protocols that provide implementation strategies – moving the region from mere cooperation to tangible regional integration with defined timeframes.

It requires a 75% consensus among member states present at a Summit to change or amend a protocol. Protocols enter into force upon ratification by two-thirds of the signatory states. Countries ratify a protocol through an act of Parliament.

n) What SADC institutions provide support for peace?

The Organ on Politics, Defence and Security Cooperation plays a vanguard role as part of the institutional mechanisms for promoting and maintaining peace and stability in the region and the SIPO provides the institutional framework for the daily implementation of the Organ’s Objectives. 

The SIPO, alongside the SADC Mutual Defence Pact of 2004 guides the implementation of the Protocol on Politics, Defence and Security Cooperation. The SIPO is divided into four main sectors of Political; Defence; State Security; and Public Security. 

o) What are the main institutions of the SADC?

SADC comprises eight (8) institutions, namely, the Summit of Heads of State & Government, SADC Tribunal, Council of Ministers, Organ on Politics, Defence & Security Cooperation, Sectoral/Cluster Ministerial Committees, SADC Secretariat, Standing Committee of Officials, and SADC National Committees.

With its chairpersonship held on a rotational basis, SADC applies the Troika system from Summit, the Organ, Council and the Ministerial Committee of the Organ (MCO) as well as the Officials level. 

The SADC Troika System vests authority in the incumbent Chairperson, Incoming Chairperson who is the Deputy Chairperson at the time and the immediate Previous Chairperson to take quick decisions on behalf of SADC that would ordinarily be taken at policy meetings scheduled at intervals stipulated by the Articles 10, 11 and 13 of the Treaty. This also applies to the Troika of the Organ on Politics, Defence and Security Cooperation and when combined, the two are referred to as the Double Troika.

[emoji767] SADC 2012

About SADC SADC Secretariat Member States News & Events Documents & Publications Opportunities Contact SADC Site Map
 
Kitambo nchi ya USA ilikuwa inaidharau nchi ya China kuwa ni nchi dhaifu na ambayo imeadhiriwa na uvivu wa socialisim. Kwa sasa, 60% of deni la nchi ya USA ipo kwa mchina.
Kenya very soon will be borrowing from Tanzania.
Wakenya mpo sawa mkijigamba na takwimu za ufala lakini ni kwa mda tu, njia ambayo JPM anaifuata pamoja na raslimali ya TZ( arable land,Minerals, Coastline etc) Zipo kama mara 5 zaidi ya kenya. Muombe sana awamu ya serikali baada ya JPM iwe dhaifu, la sivyo wakenya mtakua mmeajiriwa kupiga deki hoteli za TZ
 
Kenya ranked as 'failed state'
Mbona hutaki kuelewa?, sio mimi niliyeiweka Kenya katika kundi la failed state, nimekuwekea link hapo, mbona hutaki kuelewa?

Kama unataka kutumia reasoning, Kenya haipaswi kuwa katika kundi la Lower middle income countries, hakuna nchi yoyote iliyopo katika kundi hilo na bado inategemea food donations, labda kama ina civil war.
Nimesoma hio article. Iliandikwa 4 March 2013. Body yenyewe ni ya ujinga hata sijawahi kuisikia. Eti Inaitwa "Fund for peace and foreign policy magazine". Kenya ilikuwa ranked na World Bank kama Middle income miezi kadhaa baada ya hii article kuwa published. Wacha nikusaidie, naona unatapatapa sana, unahitaji guidance. Bodies ambazo zinapewa heshima in economic matters ni kama World Bank, IMF na United Nations. Hayo mengine ni takataka
 
hahahaha usinifanye ni cheke Mkuu,nimejaribu kukufahamisha hii habari iliandikwa lini na kwa madhumuni gani,lakini naona bado hutaki kufahamu,nafikiri unashindwa kufahamu nini hasa huyu muandishi kakusudia alipoandika "failed state"...

Hii ilikuwa ni habari ya mwaka 2013,ilikuwa kuhusu uchaguzi wa kenya,kama unakumbuka wakenya wengi walipoteza maisha ule uchaguzi wa kwanza,kiasi ambacho Uhuru Kenyata alitaka kushtakiwa The hague.,Kenya ilikuwa "the failed state" kwa yale matokeo yaliyotkea wakati ule...

Sasa unataka kuniambia yaliotokea juzi Tanzania katika uchaguzi,mwanafuzi kapigwa risasi na polisi tuiite Tanzania ni "failed state"?
Sitegeme kuendeleza huu mjadala kwasababu inaonekana huna facts zozote zaidi ya kutumia kichwa chako, unaposema unafahamu sababu muandishi anachosema wakati nimekuambia huyo sio muandishi, hiyo ni ripoti ya utafiti uliofanyika, hivi unaelewa tofauti ya report ya utafiti na maoni ya mwandishi?

Nchi haiwezi kuwekwa katika kundi la masikini au tajiri kwa sababu ya vita ya mwaka mmoja. Hivi unajua ni indicators ngapi zinatumika hadi kufikia kusema hii nchi failed state?, wewe umekazania walivyopigana mwaka 2010 kuwa ndiyo Kigezo, mbona Ivory coast walipigana sana zaidi ya Kenya lakini haimo katika failed state?, tumua akili, otherwise nitakudharau.
 
Somalia ijiunge huko IGAD hawa EAC wasitunzingue kwa kuifanya jumuiya kama jalala.
 
Kenya ranked as 'failed state'
Mbona hutaki kuelewa?, sio mimi niliyeiweka Kenya katika kundi la failed state, nimekuwekea link hapo, mbona hutaki kuelewa?

Kama unataka kutumia reasoning, Kenya haipaswi kuwa katika kundi la Lower middle income countries, hakuna nchi yoyote iliyopo katika kundi hilo na bado inategemea food donations, labda kama ina civil war.

Thanks for showing this nyang'au Tony254 the evidence based argument.
 
Hivi wewe jamaa ni timamu kweli

Kivipi Kenya ni threat kwa uchumi Wa SA

Kenya sio threat , Kenya hana vigezo vya kujiunga SADC na hii ni kwa sababu ya USALITI wake na siku EAC ikivunjika sijui mtaenda Block ipi
Ninahisi ana matatizo ya akili huyu jamaa, vyuma vimekaza watu wengi wameanza kuchanganyikiwa, tutawapata Nabii Tito wengi sana safari hii.
 
Back
Top Bottom