Naomba unitajie faida tano za uchumu tunazopata kutoka SADC kama nchi ...... sisi dumping place ya bidha kutoka Africa kusini.Mbona SADC tumekaa mwakajana huko Lesotho. Makamu wa rais alimwakilisha mkuu wa nchi yetu?.
By the way SADC is the best block in Africa. Taja block yoyo inayoweza kuifikia SADC kwa uwezo, umoja na ushirikiano.
Kufeli au kufaulu kimaisha inatokana na raia kupewa fursa("opportunities and possibilities") katika kuongoza maisha yake,moja katika fursa muhimu ni kumuwezesha raia kuwa na uwezo wa kuamua na kuchangia mambo muhimu katika taifa lake,haya siyaoni katika taifa la TanzaniaKaka haya mambo hayako hivyo, kufaulu au kufeli maisha inatokana na juhudi zako. Kuwa failed state hujiamulii wewe, ni vigezo kama hujavifikia basi unakuwa failed state. Hawa wakenya ni vichaa sana, wao wanakubali na kufurahia walipotajwa kwamba ni middle income, lakini wanaumia na kuona uchungu wakitajwa kwamba ni failed state[emoji15] [emoji15] [emoji15]
unajidanganya...open your eyes and seeBut is not a failed state like Kenya, we have enough food, water, security, employment, no slums, no corruption, no hunger, no tribalism
My friend "never underestimate the power of poverty stricken Banana republics in a large economic blocks"Huo ni muungano wa nchi masikini na shida tupu, Burundi Sudani ya kusini Somalia Rwanda who will help who?
Nilianza kwa kusema kwamba, haya mambo hujipangii wewe kama mtu binafsi au kama nchi. Mtu kuitwa bilionea ni lazima uwe na hizo bilioni, au kuwa professor ni lazima ufikishe vigezo vilivyowekwa kidunia, sio jambo la mtu kujiita tu, huwezi kumvua mtu u pofessor wake aliotunukiwa kihalali eti kwasababu tu huoni kama anastahili.Kufeli au kufaulu kimaisha inatokana na raia kupewa fursa("opportunities and possibilities") katika kuongoza maisha yake,moja katika fursa muhimu ni kumuwezesha raia kuwa na uwezo wa kuamua na kuchangia mambo muhimu katika taifa lake,haya siyaoni katika taifa la Tanzania
Tanzania is failing state...what recently happened in Tanzania is just the beginning of the end of the failing Nation.....
Mbona SADC tumekaa mwakajana huko Lesotho. Makamu wa rais alimwakilisha mkuu wa nchi yetu?.
By the way SADC is the best block in Africa. Taja block yoyo inayoweza kuifikia SADC kwa uwezo, umoja na ushirikiano.
Well stipulated[emoji122] [emoji122] [emoji122]sisi moyo wetu, mawazo yetu na akili zetu ziko SADC. huko sijui EAC tunakuja kupiga story. kwa sababu kuna member mmoja yuko half minded halafu anataka ku dictate terms za jumuiya wakati HANA analojua zaidi ya kuuza nchi yao kwa MAKABAILA.
Economically sisi kama tz hakuna kiti kiuchumu kupata kutoka Somalia na Burundi labda intermarriage na cheap labor kutoka burundiM
My friend "never underestimate the power of poverty stricken Banana republics in a large economic blocks"
Toa Rwanda hapo. Rwanda haina mashida kama TanzaniaHuo ni muungano wa nchi masikini na shida tupu, Burundi Sudani ya kusini Somalia Rwanda who will help who?
Kenya ni failed state? Kama unatania ni sawa ila kama upo serious, then ningekuomba usome maana ya failed state kwenye WikipediaKama Somalia ikijiunga, EA itakuwa na jumla ya nchi 3 ambazo ni failed states, Kenya, South Sudan na Somalia[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Africa kusini haiwezi kukubali kwasabb kenye ni serious competitor (industrial production) anahitaji nchi kama Tz zambia nk kua damping place for finished goods from S.AKenya anatamani ajiunge SADC lakini tatizo hana Sifa
Wewe bwege kweli , SA na Rest countries kusini mwa afrika hawaewezi ikubali Kenya kwa sababu Moja kuuu USALITIAfrica kusini haiwezi kukubali kwasabb kenye ni serious competitor (industrial production) anahitaji nchi kama Tz zambia nk kua damping place for finished goods from S.A
Kenya ranked as 'failed state'Kenya ni failed state? Kama unatania ni sawa ila kama upo serious, then ningekuomba usome maana ya failed state kwenye Wikipedia
Vigezo vya kuwa member SADC ni kama kuwa member katika Commonwealth countries, lazima kuwe na commonality. Kenya walikua wanasafisha boots za askari wa wazungu ili kwenda kuwaua black South Africans, Kenya isahau kuhusu SADCAfrica kusini haiwezi kukubali kwasabb kenye ni serious competitor (industrial production) anahitaji nchi kama Tz zambia nk kua damping place for finished goods from S.A
Naomba ongea maswala ya uchumu sio ushabiki tu Kenya economically ni threat to SA. unaingia supermarket ya cape town unakuta nescafe Cocoa Nido kutoka kenya pamoja na kodi wanaweza kupeleka bidha zao je wakiondoa kodi kwa SADC inakua je kwahiyo S.A. lazima ipinge....sasa Zambia au nchi yangu inauza nini S.A. mwenye soko kumbwa na strong middle class?Wewe bwege kweli , SA na Rest countries kusini mwa afrika hawaewezi ikubali Kenya kwa sababu Moja kuuu USALITI
Nyie mnaongoza kwa viwanda labda vya mirungi
Mkuu,Kenya inaongoza kwa uchumi katika Afrika mashariki,bajeti ya Kenya haitegemei pesa kutoka kwa wafadhili wakati Tanzania asilimia 60 ya bajeti yake inategemea pesa kutoka kwa wafadhili,Kenya ina mfumo wake wa uchumi wakati Tanzania haijui hata ifate mfumo gani wa uchumiNilianza kwa kusema kwamba, haya mambo hujipangii wewe kama mtu binafsi au kama nchi. Mtu kuitwa bilionea ni lazima uwe na hizo bilioni, au kuwa professor ni lazima ufikishe vigezo vilivyowekwa kidunia, sio jambo la mtu kujiita tu, huwezi kumvua mtu u pofessor wake aliotunukiwa kihalali eti kwasababu tu huoni kama anastahili.
Kenya imetunukiwa status ya failed state, hata kama huamini au hupendi, hilo ni juu yako na wala haisumbui mtu. Tanzania bado haijabahatika kutunukiwa status ya failed state, huwezi kufanya lolote hata kama kwako wewe binafsi unadhani inapaswa iwe failed state, huo ni mtazamo wako endelea kuwa nao kaka, ni haki yako kufikiria vile upendavyo.
Hivi wewe jamaa ni timamu kweliNaomba ongea maswala ya uchumu sio ushabiki tu Kenya economically ni threat to SA. unaingia supermarket ya cape town unakuta nescafe Cocoa Nido kutoka kenya pamoja na kodi wanaweza kupeleka bidha zao je wakiondoa kodi kwa SADC inakua je kwahiyo S.A. lazima ipinge....sasa Zambia au nchi yangu inauza nini S.A. mwenye soko kumbwa na strong middle class?
Hujui lolote Bali unamezeshwa matango poriMkuu,Kenya inaongoza kwa uchumi katika Afrika mashariki,bajeti ya Kenya haitegemei pesa kutoka kwa wafadhili wakati Tanzania asilimia 60 ya bajeti yake inategemea pesa kutoka kwa wafadhili,Kenya ina mfumo wake wa uchumi wakati Tanzania haijui hata ifate mfumo gani wa uchumi
Tanzania ni nchi iliyofeli kufanikisha raia wake tangu ipate uhuru wake,Tanzania is a failed state,Tanzania haiwezi kuipata kenya kwa chochote kuanzia dempkrasi,na mambo mengine ya kimaendeleo