Kuna mtu amesema kule nyuma kwamba it takes two to tango!!! Ndugu yangu pretty, acha hilo.... kuna mimama nayo imezidi kusarandia serengeti boys, na hao tunawaweka wapi?? maana naona hakuna haja ya new thread, tuwatandikie humuhumu
Hilo ndo sharti la kuolewa kumbe? na kama nishaolewa je?
Mkuu taratibu utaniharibia. Kuna moja linaniweka mjini. Nikichacha nali-beep linakuja fasta. Nalipa huduma, naondoka namkwanja wa uhakika.
Kama umesha olewa nitaendelea kula kwa macho....
Yeah mzee watu wanawekwa mujini kama kawa huduma unapata na chapaa juu.....ila sema iliyo mingi ni mijane mzee tunaweza kukusahau.
Mkuu taratibu utaniharibia. Kuna moja linaniweka mjini. Nikichacha nali-beep linakuja fasta. Nalipa huduma, naondoka namkwanja wa uhakika.
Mkuu wajane huwa tunaangalia sababu za vifo vya waume zao. Na prefer zaidi waliokufa kwa ajali.
Samahani, i thought ni vizuri kuwajadili wachapaji/wachapwaji kwa pamoja maana VC kaibua hoja yetu wanaume, na nijuavyo mimi, kuna mimama imebobea kunyatia serengeti boys!!!
Where do you fall sasa, serngeti boys au?
Mi ni taifa stars (not serengeti boy) nayependa majimama yenye mapesa.
hahahaha mkuu utakufa ile mm iwa siiamini
Kuna mtu amesema kule nyuma kwamba it takes two to tango!!! Ndugu yangu pretty, acha hilo.... kuna mimama nayo imezidi kusarandia serengeti boys, na hao tunawaweka wapi?? maana naona hakuna haja ya new thread, tuwatandikie humuhumu
Wamama wanaosarandia serengeti boys madai yao ni kwamba waume zao hawawatoshelezi. Vile vile kumbuka ukiona hao wamama wana serengeti boys ujue yamewafika shingoni. Wanaume ndio chanzo cha hayo yote.

Oooh here we go again!!!
Why cant it the a similar case kwa wanaume? kwamba wake zao hawawatoshelezi?? na maji yamefika shingoni??
Na kama ni kweli basi chanzo cha haya yote ni wanawake... what to do you think?? kwa wanawake chanzo ni wanaume, na kwa wanaume chanzo kinabaki kilekile kwamba ni wanaume??
Yaleyale ya kunya anye kuku, akinya bata uharo!!
Inakuwaje lakini?
Ukiwa nyumbani hata kama unamai waifu wako lazima usarandie housegirl, ukienda kupata kilaji lazima ujivinjari na barmaid, ukiwa ofisini huishi kumtongoza secretary, mhudumu na wenginoe mradi tu zipu ichezeshwe.Ukipita njiani macho mia mia mara ubebe denti mara..... ukiwa na rafikio wa karibu umtongozee mkewe na mabinti zake.Wengine sasa wameanza kuwatongoza dada zao na mabinti zao,marafiki wa mabinti zao, mama mkwe, shemeji wa kike.....
Halafu ukirudi kwa mai waifu mitambo haifanyi kazi!!!
Hupitwiiiiiii???
Huu ukware mwingine ni 'baraa', yaani unatamani hadi avatar..lol
Maneno yanatosha kumjua dada atakuwaje kitandani,hata bila kuangalia avatar-hata mimi Veracity(sio avatar) namtamani?