All The Women In UR Life - Jamani Hamchoki nyie??

All The Women In UR Life - Jamani Hamchoki nyie??

Kuna mtu amesema kule nyuma kwamba it takes two to tango!!! Ndugu yangu pretty, acha hilo.... kuna mimama nayo imezidi kusarandia serengeti boys, na hao tunawaweka wapi?? maana naona hakuna haja ya new thread, tuwatandikie humuhumu

Mkuu taratibu utaniharibia. Kuna moja linaniweka mjini. Nikichacha nali-beep linakuja fasta. Nalipa huduma, naondoka namkwanja wa uhakika.
 
Mkuu taratibu utaniharibia. Kuna moja linaniweka mjini. Nikichacha nali-beep linakuja fasta. Nalipa huduma, naondoka namkwanja wa uhakika.

Yeah mzee watu wanawekwa mujini kama kawa huduma unapata na chapaa juu.....ila sema iliyo mingi ni mijane mzee tunaweza kukusahau.
 
Yeah mzee watu wanawekwa mujini kama kawa huduma unapata na chapaa juu.....ila sema iliyo mingi ni mijane mzee tunaweza kukusahau.

Mkuu wajane huwa tunaangalia sababu za vifo vya waume zao. Na prefer zaidi waliokufa kwa ajali.
 
Mkuu taratibu utaniharibia. Kuna moja linaniweka mjini. Nikichacha nali-beep linakuja fasta. Nalipa huduma, naondoka namkwanja wa uhakika.

Samahani, i thought ni vizuri kuwajadili wachapaji/wachapwaji kwa pamoja maana VC kaibua hoja yetu wanaume, na nijuavyo mimi, kuna mimama imebobea kunyatia serengeti boys!!!

Where do you fall sasa, serngeti boys au?
 
Mkuu wajane huwa tunaangalia sababu za vifo vya waume zao. Na prefer zaidi waliokufa kwa ajali.

hahahaha wajane noma mkuu dah unaweza ukaishia na kilo 2.....
Ila uzuri wa mimama inajua sana kucare na kuhandle love na haina wivu wa kijinga jinga.
 
Samahani, i thought ni vizuri kuwajadili wachapaji/wachapwaji kwa pamoja maana VC kaibua hoja yetu wanaume, na nijuavyo mimi, kuna mimama imebobea kunyatia serengeti boys!!!

Where do you fall sasa, serngeti boys au?

Mi ni taifa stars (not serengeti boy) nayependa majimama yenye mapesa.
 
hahahaha mkuu utakufa ile mm iwa siiamini

Mkuu wajane ambao waume zao wamekufa kwa ajali ya gari wanafaa sana. Usimendee wale ambao waume zao wamekufa baada ya kuugua kwa muda mrefu. Hahahaha! Kina Carmel leo hawako hewani, tungeshapata habari yao.
 
Kuna mtu amesema kule nyuma kwamba it takes two to tango!!! Ndugu yangu pretty, acha hilo.... kuna mimama nayo imezidi kusarandia serengeti boys, na hao tunawaweka wapi?? maana naona hakuna haja ya new thread, tuwatandikie humuhumu

Wamama wanaosarandia serengeti boys madai yao ni kwamba waume zao hawawatoshelezi. Vile vile kumbuka ukiona hao wamama wana serengeti boys ujue yamewafika shingoni. Wanaume ndio chanzo cha hayo yote.
 
Wamama wanaosarandia serengeti boys madai yao ni kwamba waume zao hawawatoshelezi. Vile vile kumbuka ukiona hao wamama wana serengeti boys ujue yamewafika shingoni. Wanaume ndio chanzo cha hayo yote.

We ulishawahi kutoshelezwa?
 
Wamama wanaosarandia serengeti boys madai yao ni kwamba waume zao hawawatoshelezi. Vile vile kumbuka ukiona hao wamama wana serengeti boys ujue yamewafika shingoni. Wanaume ndio chanzo cha hayo yote.

Oooh here we go again!!!

Why cant it the a similar case kwa wanaume? kwamba wake zao hawawatoshelezi?? na maji yamefika shingoni??

Na kama ni kweli basi chanzo cha haya yote ni wanawake... what to do you think?? kwa wanawake chanzo ni wanaume, na kwa wanaume chanzo kinabaki kilekile kwamba ni wanaume??

Yaleyale ya kunya anye kuku, akinya bata uharo!!
 
Mkuu wasikuzengue hao. Wanaume tukitoka nje ni kwa sababu wanawake wameshindwa kutupa ile kitu roho inataka. Kwishney. Mi nikimpata ambaye atanifikishia utamu kisogoni, mzee mzima ntashinda nyumbani na msuli wangu tartiiibu. Nitoke nikatafute nini wakati mchuzi wenye binzari na ndimu uko jikoni?
 
DEDICATED TO PRETTY....😕😉😛🙂😱😎

If I Were A Boy (Remix) (ft. R. Kelly) Lyrics

If I were a boy
even just for a day
I'd roll out of bed in the morning
and throw on what I wanted and go

Drink beer with the guys
and chase after girls
I'd kick it with who I wanted
and I'd never get confronted for it
cause they stick up for me

If I were a boy
I think I could understand
How it feels to love a girl
I swear I'd be a better man
I'd listen to her
Cause I know how it hurts
When you lose the one you wanted
Cause he's taking you for granted
And everything you had got destroyed

(R. Kelly)
If you were a boy
then girl you'd understand
you need to stop listening to your friends
love, respect and trust your man

So I go to clubs with the guys
and sometimes flirt with the girls
I should be able to roll out
as long as Im coming home to you
and give you the world

But you are not a boy,
so you dont have a clue (ey)
How I work and pay the bills
girl everything I do is for you (eh eh)

(Beyonce)
I'd listen to her
Cause I know how it hurts
When you lose the one you wanted
Cause he's taking you for granted
And everything you had got destroyed

If I were a Boy (Beyonce)

If I were a Girl (Kelly)

I would turn off my phone (Beyonce)

I wouldn't play games (Kelly)

Tell everyone it's broken
so they'd think that I was sleeping alone (Beyonce)

Girl you know thats wrong (Kelly)

I'd put myself first
and make the rules as I go
Cause I know that she'll be faithful,
waiting for me to come home, to come home.

But you are not a boy,
so you can't understand
You are not a perfect woman
and I am not a perfect man (remix,remix)

I'd listen to her (eh eh)
Cause I know how it hurts (Kelly: and I know how you feel)
When you lose the one you wanted
Cause he's taking you for granted
And everything you had got destroyed

Kelly: Said Im sorry

It's a little too late for you to come back

but I cant let you go
cause Im too attached (Kelly)

If you thought I would wait for you
you thought wrong

But you're just a boy

....Gademu robati huyu... Making Tyson a gentleman
 
Maneno yanatosha kumjua dada atakuwaje kitandani,hata bila kuangalia avatar-hata mimi Veracity(sio avatar) namtamani?
Inakuwaje lakini?
Ukiwa nyumbani hata kama unamai waifu wako lazima usarandie housegirl, ukienda kupata kilaji lazima ujivinjari na barmaid, ukiwa ofisini huishi kumtongoza secretary, mhudumu na wenginoe mradi tu zipu ichezeshwe.Ukipita njiani macho mia mia mara ubebe denti mara..... ukiwa na rafikio wa karibu umtongozee mkewe na mabinti zake.Wengine sasa wameanza kuwatongoza dada zao na mabinti zao,marafiki wa mabinti zao, mama mkwe, shemeji wa kike.....

Halafu ukirudi kwa mai waifu mitambo haifanyi kazi!!!
Hupitwiiiiiii???

Huu ukware mwingine ni 'baraa', yaani unatamani hadi avatar..lol
 
Maneno yanatosha kumjua dada atakuwaje kitandani,hata bila kuangalia avatar-hata mimi Veracity(sio avatar) namtamani?

Subiri mchungaji aamke mpate habari yenu nyie mnaotamani vitu vya wenzenu.
 
Inakuwaje lakini?
Ukiwa nyumbani hata kama unamai waifu wako lazima usarandie housegirl, ukienda kupata kilaji lazima ujivinjari na barmaid, ukiwa ofisini huishi kumtongoza secretary, mhudumu na wenginoe mradi tu zipu ichezeshwe.Ukipita njiani macho mia mia mara ubebe denti mara..... ukiwa na rafikio wa karibu umtongozee mkewe na mabinti zake.Wengine sasa wameanza kuwatongoza dada zao na mabinti zao,marafiki wa mabinti zao, mama mkwe, shemeji wa kike.....

Halafu ukirudi kwa mai waifu mitambo haifanyi kazi!!!
Hupitwiiiiiii???

Huyu ni mtu wa kufikirika ama mtu kweli?
 
Bwana weh...

Hili ni jukwaa la mahaba....
kila kitu humu mahaba....
maumivu ya mahaba...
akina baba ni wabaya wa mahaba...

akina mama ndio hivyo tena na mahaba...
machungu tele juu ya mahaba...
na wa kulaumu ni akina baba...

basi tena ndio hivyo jibaba...
 
Back
Top Bottom