Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Hahaha, stendi iko mbezi, ila sa hivi mabasibyana vituko binafsi kule shekilango.Basi mkuu siku ya party naomba unipokee stendi Ubungo.
Aaaahh unaona sasa? Ningepotea mimi.Hahaha, stendi iko mbezi, ila sa hivi mabasibyana vituko binafsi kule shekilango.
magomeni, na hata pale maeneo ya ubungo darajani kwenye kituo Cha mafuta ma atm.
Mi mwenyewe niko nanjilinjii, hiyo nime Soma kwenye google map.Aaaahh unaona sasa? Ningepotea mimi.
Nilijua bado ni Ubungo😔😔
Barikiwa sana.Dada yangu mzuri, asante nimkumiss pia
I always speak truth, those were just cooked story.Old man kwanini usiwe wakili, maana una kipaji Cha ku denial hata vumbi linalo kuja upande wako. Hahaha
Na hapa kwangu haipo 🤣Nmefanyaje?
Ulipo nipo, na hapa ipo 😂
Aaah wapi, wewe upo zako Dar. Nakuonea wivu fav enemy 😰Mi mwenyewe niko nanjilinjii, hiyo nime Soma kwenye google map.
Amina aminaBarikiwa sana.
Mhh mji nauotaga tu🤓,Aaah wapi, wewe upo zako Dar. Nakuonea wivu fav enemy 😰
Hehe! Utaniuaaa… i am just a real bad dancer, i can’t differentiate margarine from butter. Amapiano ndio ile yakupindua macho? Au nachanganya mambo.Hah then I'm practicing amaPiano moves..tukiwashe
Ni sawa wengine hutumia neno udongo au mavumbi. Husema "mimi ni udongo tu au mimi ni mavumbi tu" naona wewe umekuja na mchanga. Anyway hatujui kama uliumbwa kwa udongo au mchanga.Mimi ni mchanga hapa kijiweni, naomba kufahamishwa kwa kina kuhusu mkizungumziacho kwenye mada mezani.
Hahahahaha..halafu kuonesha kuwa na wewe ni msanii km yeye unamkubalia...huku ukicheka Hahahahaha. HahahahahahaHahaha, Mwandishi ana leta pigo za usaniii kwenye jumba la Sanaa.
Hahahahaha..hapana mkuu wako watakaokupokea kuna yule mnamuitaga kijana wa hovyo sijui mlevi ,atakuja kukupokeaBasi mkuu siku ya party naomba unipokee stendi Ubungo.
Hatuendi?Twasubiri mrejesho mtakaohudhuria
Haha Basi Basi tutakua wallflowers,no shaking bum bum no leaning back,tuna chill tu,it's good to hang out with feminist,bills 50/50 haki sawa kwa wote..Hehe! Utaniuaaa… i am just a real bad dancer, i can’t differentiate margarine from butter. Amapiano ndio ile yakupindua macho? Au nachanganya mambo.
😂😂😂😂Hahahahaha..hapana mkuu wako watakaokupokea kuna yule mnamuitaga kijana wa hovyo sijui mlevi ,atakuja kukupokea
Kuna mwalimu wangu mmoja, ali niambia ili uishi.. lazima ufe.Hahahahaha..halafu kuonesha kuwa na wewe ni msanii km yeye unamkubalia...huku ukicheka Hahahahaha. Hahahahahaha
Hahaha, hahahaha, ye SI msanii basi kajibiwa kisanii. HahahaHahahahaha..hapana mkuu wako watakaokupokea kuna yule mnamuitaga kijana wa hovyo sijui mlevi ,atakuja kukupokea