All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

Wazo zuri sana tupate kuona uhalisia wa wale tunaowadhania ndio kumbe sio.

Ikatokea kukawa na haja kila mtu aje na ID yake, kuna viumbe humu itabidi vijigawe. Maana humu kuna njemba zinachat kama mademu, kuna walimwengu wanamiliki ID mpaka 5 na zote zipo active. Kuna mpaka couples humu ambazo ni mtu mmoja. Jamaa anamiliki account ya demu na mwanaume halafu hizo account zina date.
Hahaha
 
White Party ni mpango endelevu ambao unahitaji umakini ili kila kitru kende sawa bini sawia tupo katika kuhakikisha inafanyika hivyo na jinsi yakuweka miundo mbinu thabiti.
 
Back
Top Bottom