Alli kiba na Ben Pol wamepotea kimuziki

SAsa hao sony siwange msaini msanii ambaye ajapotea mbona mamemsaini aliye potea #kingkiba
 
Wewe hujui mziki.
Mziki ni hisia za mtu. Kama weewe hupendi kuna wanaopenda. Umecrush general sana.
 
hako kadogo kiba ndo kamedanja kitambo kimuziki lakn umenisikitisha sana kumtaja benpaul kama et kafa kimuziki, hv unafatilia vizur muziki mkuu? au unaendeshwa na hisia binafsi.
 
Aje! wema sepetu aje! Mbona hapo kwa wema sepetu ameparudia sanaa, embu nifunge mdomo wangu mie nilishasema sitaki tena ule ushabiki niliokuwa nao mwanzo Nifah is watching me [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Afadhari wewe umegoma kuwa mshabiki maandazi,mtu anashabikia hata kitu cha wazi kabisa
 
Thread yako haina ushawishi wowote! Hivi wamepotea kuanzia lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…