Edger ngassa
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 294
- 239
SAsa hao sony siwange msaini msanii ambaye ajapotea mbona mamemsaini aliye potea #kingkiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hujui mziki.Kwa sisi tunaojua muziki tunaelewa ila kwa wale die hard fans hii kitu hawawezi kuielewa,kwanza hiyo habari ya alli kiba kusainiwa sony mi sioni kama ni ngeni maana kumbuka kipindi wamefanya ngoma na R kerry lakini cha maana hakuna,nabhata huo wimbo wake mpya wa "waje" ni mbaya sana na hauna mvuto kabisa,,na huyu ben pol ndio kwa heli kabisa maana hiyo ngoma yake mpya ya moyo mashine nayi ni mbovu kupita maelezo,ila tu kwa kuwa wameshatengeneza majina basi zitashika chat tu
NB: pamoja na ubaya wa nyimbo hizo mashabiki wasiojua miziki watasifia tu
Hakika wewe unajitambua sanaAje !!!
Kiukweli watu wanashabikia ki kufuata mkumbo tu
Liwimbo libaya kupita maekezo
Afadhari wewe umegoma kuwa mshabiki maandazi,mtu anashabikia hata kitu cha wazi kabisaAje! wema sepetu aje! Mbona hapo kwa wema sepetu ameparudia sanaa, embu nifunge mdomo wangu mie nilishasema sitaki tena ule ushabiki niliokuwa nao mwanzo Nifah is watching me [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Thread yako haina ushawishi wowote! Hivi wamepotea kuanzia lini?Kwa sisi tunaojua muziki tunaelewa ila kwa wale die hard fans hii kitu hawawezi kuielewa,kwanza hiyo habari ya alli kiba kusainiwa sony mi sioni kama ni ngeni maana kumbuka kipindi wamefanya ngoma na R kerry lakini cha maana hakuna,nabhata huo wimbo wake mpya wa "waje" ni mbaya sana na hauna mvuto kabisa,,na huyu ben pol ndio kwa heli kabisa maana hiyo ngoma yake mpya ya moyo mashine nayi ni mbovu kupita maelezo,ila tu kwa kuwa wameshatengeneza majina basi zitashika chat tu
NB: pamoja na ubaya wa nyimbo hizo mashabiki wasiojua miziki watasifia tu