kiben10
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 615
- 792
Mtangazaji nguli wa medani za Siasa Ndg Aloyce Nyanda ameteuliwa kuwa msemaji wa Chama cha ADC kuanzia leo ambapo uteuzi wake umeanza leo baanda ya Mwenyekiti wa Chama hicho cha Siansa MH. SHAABAN HAJI ITITU kumteua na Ndg ALLOYCE NYANDA, ameomba suala hilo la yeye kukubali ama kukukataa
ametuachia sisi wananchi tumshauri...Sasa anaom a ushauri wenu kuhusu Uteuzi huo je akubali ama akatae?
ametuachia sisi wananchi tumshauri...Sasa anaom a ushauri wenu kuhusu Uteuzi huo je akubali ama akatae?