Ally Ahmada anaigharimu Azam FC

Ally Ahmada anaigharimu Azam FC

Huyu Mmoroko anawaghalimu sn Azam, na sjui kwa nini kocha nae haoni. Pole yao kwa leo.

Ila Azam nahisi leo walikuwa wanamuwaza Feisal maana Kuna muda walikuwa km hawapo uwanjani huku wakikosa magoli ya wazi.
Wewe huiogopi Yanga??
Mashuti ya Aziz master[emoji360][emoji360][emoji360] nani hayaogopi? Je tumuulize air manula? Au tuwaulize tunisia?
 
Huyu Mmoroko anawaghalimu sn Azam, na sjui kwa nini kocha nae haoni. Pole yao kwa leo.

Ila Azam nahisi leo walikuwa wanamuwaza Feisal maana Kuna muda walikuwa km hawapo uwanjani huku wakikosa magoli ya wazi.
Unaweza kumlam kwa goli la 3 ila asikuambie mtu! Mipira inayokuja ikadunda inachanya sana makipa! Huwa inabadilisha direction
 
Huyu Mmoroko anawaghalimu sana Azam, na sjui kwa nini kocha nae haoni. Pole yao kwa leo.

Ila Azam nahisi leo walikuwa wanamuwaza Feisal maana kuna muda walikuwa kama hawapo uwanjani huku wakikosa magoli ya wazi.
Wewe si ulicheza nao? Hebu tukumbushe matokeo yalikua vipi?

Alafu muache uonevu, litimu ambalo nyie mmeshindwa kulifunga, mnawalaumu vipi wengine wakishindwa?

Hebu kuweni serious asee!
 
Huyu Mmoroko anawaghalimu sana Azam, na sjui kwa nini kocha nae haoni. Pole yao kwa leo.

Ila Azam nahisi leo walikuwa wanamuwaza Feisal maana kuna muda walikuwa kama hawapo uwanjani huku wakikosa magoli ya wazi.
Hebu fanya kurekebisha kwanza maelezo yako. Ali Ahmada anatokea Visiwa vya Comoro! Na siyo Morocco!
 
Huyu Mmoroko anawaghalimu sana Azam, na sjui kwa nini kocha nae haoni. Pole yao kwa leo.

Ila Azam nahisi leo walikuwa wanamuwaza Feisal maana kuna muda walikuwa kama hawapo uwanjani huku wakikosa magoli ya wazi.
Ni bora ya Ahmada kapangua shuti la Azizi ki vipi yule ambaye akuliona kabisa shuti la Aziz ki akaishia kudaka hewa🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom