Ally Ally Mchezaji wa YANGA anayechezea Team Pinzani jinsi Anavyoisaidia Yanga kupata ushindi

Kawaida mechi zote tatu wanazokutana kuwapatia magoli? Unadhani kwa nini mechi ya kwanza watu hawakusema mpaka walipoona imekuwa tabia? Nambie mchezaji aliyefungisha team yake mara tatu dhid ya team ile ile huko kwingine.

Mimi nakataa tafuteni clip za wachezaji hawa wa Manchester united,Roy Keane na Wesbrown ni kawaida sana kwa mchezaji lakini kama hujawahi hata kucheza chandimu utakuwa huelewi mpira ulivyo
 
Kabisa huu mchango wake mzuri sana

 
Sasa ndege isiyo na engine inawapiga kimoja cha mkwezi... Kagere aksema aingize kichwa tu... Mkatanua miguu kumbe akamwaga ndani...mimba watoto mapacha watatu...

Simba ni sawa na ndege isiyo na engine
 
Mechi zote tatu wanazokutana kuwapatia magoli? Unadhani kwa nini mechi ya kwanza watu hawakusema mpaka walipoona imekuwa tabia? Nambie mchezaji aliyefungisha team yake mara tatu dhid ya team ile ile huko kwingine.

Angular velocity Ο‰ = v/r,..mpira alioupiga Ajibu ni Physics... Inabidi wanasayansi wa Mlimani wakae chini waumize vichwa...acheni kumlaumu Ally Ally
 
mechi ya round kwanza alisababisha faulo ambayo fei Toto alifunga, mechi ya juzi tena hii kawawezesha jamaa kupata ushindi? Uokowaji gani ule?, kweli sasa naamini pesa na mpesa.
 
Hivi Neno transaction kwa kiswahili unasemaje

Sent using Damu ya Yesu
 
Mtaongea yote mpaka mmalize Wakuu ila kumbukeni AS Vita kesho kutwa wapo Dar.
Kwa simba hii ya thamani ya billion mmoja na ushee mgeni gani alikuja pale taifa akatoka salama; tulishawaambia pale hata aje Barcelona, tena Barcelona ile ya kina xavi,inesta acha hii ya kina dembele na coutinho
 
Mwisho wa siku hizi POROJO zinabaki kuwa kama POROJO zingine tu.

NISEME TU YALIYOPITA SI NDWELE GANGENI YA VIPORO VYENU.
Hivi mtani mambo ya ally ally yangetokea kwetu, kwa unavyomjua zahera mbwatukuji anayeamini simba inatoa million 10 kila mechi ingekuwaje
 
Duuuuh!! Hii kiboko, sikuijua mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nakataa tafuteni clip za wachezaji hawa wa Manchester united,Roy Keane na Wesbrown ni kawaida sana kwa mchezaji lakini kama hujawahi hata kucheza chandimu utakuwa huelewi mpira ulivyo
Tunakubali kujifunga kupo ila hii ya Ally Ally ni suspicious, mechi za Yanga tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…